Kwa wembamba wako huo mie nikupeleke wapi?

Alafu ukishamtengeneza Wanunuaji wanakuja wanamnunua unaludi ulipoanzia
 
Wakuu kwema?

Leo nimelia sana baada ya kuambiwa "Kwa wembamba wako huo nikupeleke wap" Na mwanamke niliye kuwa nampenda.

Kumbe kitambi huwa ni dili? Basi ngoja nikitafute.

Thread tayari.
Sina muda mrefu wa kuwepo jf kwa Takataka zilizopo siku hizi.
 
Mkuu kitambi sio deal ispokuwa hata kama we ni Mwembamba jitajidi uwe na tunyama nyama.

Ukweli ni kuwa hakuna Mwanamke anapenda mwanaume mwenye mifupa imechomoza. Akikwambia anakupenda basi kuna kitu a akunyemelea tu.
Kweli kabisa... Mifupa huwa inatuchoma.
 
Mkuu kitambi sio deal ispokuwa hata kama we ni Mwembamba jitajidi uwe na tunyama nyama.

Ukweli ni kuwa hakuna Mwanamke anapenda mwanaume mwenye mifupa imechomoza. Akikwambia anakupenda basi kuna kitu a akunyemelea tu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wakuu kwema?

Leo nimelia sana baada ya kuambiwa "Kwa wembamba wako huo nikupeleke wap" Na mwanamke niliye kuwa nampenda.

Kumbe kitambi huwa ni dili? Basi ngoja nikitafute.

Thread tayari.
Hajakutana na shughuli zao watu wembamba,haaaaa
 
Wakuu kwema?

Leo nimelia sana baada ya kuambiwa "Kwa wembamba wako huo nikupeleke wap" Na mwanamke niliye kuwa nampenda.

Kumbe kitambi huwa ni dili? Basi ngoja nikitafute.

Thread tayari.
Issue siyo embamba, issue ni hela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…