Kwa wembamba wako huo mie nikupeleke wapi?

Kwa wembamba wako huo mie nikupeleke wapi?

Usiwe mwembamba sana Wala mnene mkuu...
Mkakamavu...
Ukiwa mkakamavu hata ukiwa na okra unasitirika....
Umerojoka ngozi mpaka okra si bora ujitupe tu mto Kagera 🥴
Kuna wembamba wapo vizuri tu kwani ule mwili wa diamondplatnum vipi ni vibaya kwa mwanaume kuwa vile au ni sawa tu.
 
wanawake mbona wapo wengi sana tena wazuri mnooo nashangaa nikisikia dume lina lalamika ati nimekataliwa na mwanamke kisa yeye sijui nini ,mwembamba shezii kabisa ,tatizo mnataka wanawake ambao wanajiuza, kama unataka mke tafuta mwanamke anayeonekana wakawaida lakini kumbe ni kifaa mtengeneze wewe mwenyewe mwanamke wako utaona life is sooo easy.
 
Mm ni mwembamba.

Lkn how comes mwanaume u akua mnene on your 20's hata hujaoa.

Ukifika 30's unapikiwa vzuri na wife si utakua kipipa
 
Hata ww mbona mtumwa rfk, usihukumu maana hukumu hiyohiyo ndiyo utakayohukumiwa n ww,
Acha ushoga wewe, mwanaume mzima huoni aibu kuingiliwa na mwanaume mwenzio? Hata kama kila mmoja humu an ushetani wake ila siyo kiasi hicho kama wewe unavyofanya, unatuchefua sana na kuaibisha jinsia ya kiume, Moderator mpigeni ban huyu, anajiuza humu.
 
Back
Top Bottom