Be calm
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 3,766
- 8,959
Hujawahi,mikono yako Ina nguvu Safi kabisa.mimi nimerojoka lakini nina hela nyingi mno.
Hela zipi mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujawahi,mikono yako Ina nguvu Safi kabisa.mimi nimerojoka lakini nina hela nyingi mno.
mkiona hela vigezo vyote mnaweka pembeniHujawahi,mikono yako Ina nguvu Safi kabisa.
Hela zipi mkuu?
Sasa hapo ndiyo umalaya waingizwa ndani,full kucheat...hii haikubaliki mkuumkiona hela vigezo vyote mnaweka pembeni
Sana na wanajua jamaniWanapelekaga myoto balaa 🔥
Wewe jamaa wa lake zone wewe 😅😅Inaonekana mkuu umekondeana kama ngofa inayokunya huku imelala
Kuna wembamba wapo vizuri tu kwani ule mwili wa diamondplatnum vipi ni vibaya kwa mwanaume kuwa vile au ni sawa tu.Usiwe mwembamba sana Wala mnene mkuu...
Mkakamavu...
Ukiwa mkakamavu hata ukiwa na okra unasitirika....
Umerojoka ngozi mpaka okra si bora ujitupe tu mto Kagera 🥴
Umejuaje mkuuWewe jamaa wa lake zone wewe 😅😅
Neno NGOFA wengi humu hawajui Ila sisi tulio kulia lake zone tunajuaaUmejuaje mkuu
Ule upo sahihi,Kuna wembamba mkuuKuna wembamba wapo vizuri tu kwani ule mwili wa diamondplatnum vipi ni vibaya kwa mwanaume kuwa vile au ni sawa tu.
Acha ushoga wewe, mwanaume mzima huoni aibu kuingiliwa na mwanaume mwenzio? Hata kama kila mmoja humu an ushetani wake ila siyo kiasi hicho kama wewe unavyofanya, unatuchefua sana na kuaibisha jinsia ya kiume, Moderator mpigeni ban huyu, anajiuza humu.Hata ww mbona mtumwa rfk, usihukumu maana hukumu hiyohiyo ndiyo utakayohukumiwa n ww,
Ngofa ni nini?Inaonekana mkuu umekondeana kama ngofa inayokunya huku imelala
Ng'ombe iliyokondaNgofa ni nini?