Kwa wenye imani na numeorogy: Namba 17 ni Lissu

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Kabla ya chaguzi utaweza kuangalia maandiko yangu. Niliota Mbowe kavaa jezi namba 17. Maana yake ni kwamba Mbowe anaungwa mkono au ni shabiki wa namba 17.

Sasa kwenye maono ya kiimani kumbe Lissu ndiye ambaye Mungu amekirimu katika namba 17 yaani 2017. Huu ndiyo mwaka ambao Mungu alimponya maisha yake dhidi ya kifo.

Kwenye imani ya namba (numeorogy) Lissu ni mtu mpya kuanzia 2017 kwasababu maisha yake yameokolewa.

Ukiota namba 17 ni Lissu
 
Kabla ya chaguzi uta weza kuangalia maandiko yangu. Niliota Mbowe kavaa jezi namba 17. Maana yake ni kwamba Mbowe ata muunga mkono au ni shabiki wa namba 17. Sasa kwenye maono ya kiimani kumbe Lissu Mungu anatumia namba 17 yaani 2017 mwaka ambao aliokolewa maisha yake. Kwenye imani Lissu ni mtu mpya kuanzia 2017 kwasababu maisha yake yameokolewa. Ukiota namba 17 ni Lissu
Wasioelewa kitu inaitwa numerogy watakubeza, waache!.

Ile siku TAL anashambuliwa, ilikuwa afe!, lakini YEYE akamkinga na kumuepusha na kifo kwasababu ana malengo fulani na Lissu, kama ni uenyekiti wa Chadema, hilo limetimia, na kama ni kubwa zaidi ya hilo, pia litatimia!
P
 
Kabla ya chaguzi utaweza kuangalia maandiko yangu. Niliota Mbowe kavaa jezi namba 17. Maana yake ni kwamba Mbowe anaungwa mkono au ni shabiki wa namba 17.

Sasa kwenye maono ya kiimani kumbe Lissu ndiye ambaye Mungu amekirimu katika namba 17 yaani 2017. Huu ndiyo mwaka ambao Mungu alimponya maisha yake dhidi ya kifo.

Kwenye imani ya namba (numeorogy) Lissu ni mtu mpya kuanzia 2017 kwasababu maisha yake yameokolewa.

Ukiota namba 17 ni Lissu
Mzee wasira kila akikaa anaona kivuli cha Lissu ndo maana huamua kusinzia
 
Kabla ya chaguzi utaweza kuangalia maandiko yangu. Niliota Mbowe kavaa jezi namba 17. Maana yake ni kwamba Mbowe anaungwa mkono au ni shabiki wa namba 17.

Sasa kwenye maono ya kiimani kumbe Lissu ndiye ambaye Mungu amekirimu katika namba 17 yaani 2017. Huu ndiyo mwaka ambao Mungu alimponya maisha yake dhidi ya kifo.

Kwenye imani ya namba (numeorogy) Lissu ni mtu mpya kuanzia 2017 kwasababu maisha yake yameokolewa.

Ukiota namba 17 ni Lissu
1. Kuna siri ipi namba na maisha ya binadamu?
2. Namba ya binadamu huwa inapatikanaje na kwa utaratibu upi?
3. Jina la mtu nalo lina siri gani?
 
Kama jina lako ndio hilo basi utabiri wako wa kinyota ni namba 3. Na sifa zako mojawapo una kipaji kikubwa cha uandishi na sanaa... ukikitumia vyema utapiga hela. Kwa kua pia una uongozi ndani yako. Ila shida unapenda kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja ambayo yanakupotezea uelekeo..😀😀

Ukitaka kujua zaidi nna kilinge changu hapa Kazururanamimba.. Njoo na milioni mia🤪🤪
 
Wasioelewa kitu inaitwa numerogy watakubeza, waache!.

Ile siku TAL anashambuliwa, ilikuwa afe!, lakini YEYE akamkinga na kumuepusha na kifo kwasababu ana malengo fulani na Lissu, kama ni uenyekiti wa Chadema, hilo limetimia, na kama ni kubwa zaidi ya hilo, pia litatimia!
P
Ankal huyu YEYE kiboko
 
TAL akipewa semina ya ustahimilivu, diction na muktadha ataweza kuwaongoza WaTanzania kabla hajafa!
Ni mzalendo wa kweli!
 
Wasioelewa kitu inaitwa numerogy watakubeza, waache!.

Ile siku TAL anashambuliwa, ilikuwa afe!, lakini YEYE akamkinga na kumuepusha na kifo kwasababu ana malengo fulani na Lissu, kama ni uenyekiti wa Chadema, hilo limetimia, na kama ni kubwa zaidi ya hilo, pia litatimia!
P
Sikubaliani na dhana ya Mungu kuwa na makusudi na mtu Alie nusurika na kifo.

Yesu aliomba kikombe kimuepuke na haikuwa hivyo.

Baraba ilikuwa chupuchupu auwawe pamoja na Yesu pale msalabani lakini akaponywa na kifo dakika za mwisho.

50 Cents aliponywa na kifo mwaka 2000 lakini Sasa hivi anafanya kufuru. Anasherehekea matatizo ya wenzake hadharani. Mbaya Zaidi ana sherehekea Hadi vifo. Juzi kapost kusherehekea kifo cha Irv Gotti.

Tupac alinusurika kufa mwaka 94 akauwawa mwaka 96.

Tafsiri sahihi ya mtu kunusurika kufa ni kwamba siku zake hazijafika na Sio kwamba eti Mungu ana makusudi na yeye.

If we go down to that level then Mungu ana makusudi na kila mmoja wetu
 
Kabla ya chaguzi utaweza kuangalia maandiko yangu. Niliota Mbowe kavaa jezi namba 17. Maana yake ni kwamba Mbowe anaungwa mkono au ni shabiki wa namba 17.

Sasa kwenye maono ya kiimani kumbe Lissu ndiye ambaye Mungu amekirimu katika namba 17 yaani 2017. Huu ndiyo mwaka ambao Mungu alimponya maisha yake dhidi ya kifo.

Kwenye imani ya namba (numeorogy) Lissu ni mtu mpya kuanzia 2017 kwasababu maisha yake yameokolewa.

Ukiota namba 17 ni Lissu
Jina lenyewe lina herufi 17
Tundu Antipas Lissu
 
Back
Top Bottom