Wasioelewa kitu inaitwa numerogy watakubeza, waache!.Kabla ya chaguzi uta weza kuangalia maandiko yangu. Niliota Mbowe kavaa jezi namba 17. Maana yake ni kwamba Mbowe ata muunga mkono au ni shabiki wa namba 17. Sasa kwenye maono ya kiimani kumbe Lissu Mungu anatumia namba 17 yaani 2017 mwaka ambao aliokolewa maisha yake. Kwenye imani Lissu ni mtu mpya kuanzia 2017 kwasababu maisha yake yameokolewa. Ukiota namba 17 ni Lissu
Mzee wasira kila akikaa anaona kivuli cha Lissu ndo maana huamua kusinziaKabla ya chaguzi utaweza kuangalia maandiko yangu. Niliota Mbowe kavaa jezi namba 17. Maana yake ni kwamba Mbowe anaungwa mkono au ni shabiki wa namba 17.
Sasa kwenye maono ya kiimani kumbe Lissu ndiye ambaye Mungu amekirimu katika namba 17 yaani 2017. Huu ndiyo mwaka ambao Mungu alimponya maisha yake dhidi ya kifo.
Kwenye imani ya namba (numeorogy) Lissu ni mtu mpya kuanzia 2017 kwasababu maisha yake yameokolewa.
Ukiota namba 17 ni Lissu
1. Kuna siri ipi namba na maisha ya binadamu?Kabla ya chaguzi utaweza kuangalia maandiko yangu. Niliota Mbowe kavaa jezi namba 17. Maana yake ni kwamba Mbowe anaungwa mkono au ni shabiki wa namba 17.
Sasa kwenye maono ya kiimani kumbe Lissu ndiye ambaye Mungu amekirimu katika namba 17 yaani 2017. Huu ndiyo mwaka ambao Mungu alimponya maisha yake dhidi ya kifo.
Kwenye imani ya namba (numeorogy) Lissu ni mtu mpya kuanzia 2017 kwasababu maisha yake yameokolewa.
Ukiota namba 17 ni Lissu
Kama jina lako ndio hilo ngoja nikupe utabiri wa namba, numerology..1. Kuna siri ipi namba na maisha ya binadamu?
2. Namba ya binadamu huwa inapatikanaje na kwa utaratibu upi?
3. Jina la mtu nalo lina siri gani?
Nipe inbox mkuuKama jina lako ndio hilo ngoja nikupe utabiri wa namba, numerology..
Kama jina lako ndio hilo basi utabiri wako wa kinyota ni namba 3. Na sifa zako mojawapo una kipaji kikubwa cha uandishi na sanaa... ukikitumia vyema utapiga hela. Kwa kua pia una uongozi ndani yako. Ila shida unapenda kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja ambayo yanakupotezea uelekeo..😀😀1. Kuna siri ipi namba na maisha ya binadamu?
2. Namba ya binadamu huwa inapatikanaje na kwa utaratibu upi?
3. Jina la mtu nalo lina siri gani?
Kwanza nilichoandika ni kweli au nimepuyanga niliite jini upya??Nipe inbox mkuu
Ankal huyu YEYE kibokoWasioelewa kitu inaitwa numerogy watakubeza, waache!.
Ile siku TAL anashambuliwa, ilikuwa afe!, lakini YEYE akamkinga na kumuepusha na kifo kwasababu ana malengo fulani na Lissu, kama ni uenyekiti wa Chadema, hilo limetimia, na kama ni kubwa zaidi ya hilo, pia litatimia!
P
TAL akipewa semina ya ustahimilivu, diction na muktadha ataweza kuwaongoza WaTanzania kabla hajafa!Wasioelewa kitu inaitwa numerogy watakubeza, waache!.
Ile siku TAL anashambuliwa, ilikuwa afe!, lakini YEYE akamkinga na kumuepusha na kifo kwasababu ana malengo fulani na Lissu, kama ni uenyekiti wa Chadema, hilo limetimia, na kama ni kubwa zaidi ya hilo, pia litatimia!
P
Maisha yake yameokolewa dhidi ya wauwaji wa CCMKwenye imani ya namba (numeorogy) Lissu ni mtu mpya kuanzia 2017 kwasababu maisha yake yameokolewa.
Sikubaliani na dhana ya Mungu kuwa na makusudi na mtu Alie nusurika na kifo.Wasioelewa kitu inaitwa numerogy watakubeza, waache!.
Ile siku TAL anashambuliwa, ilikuwa afe!, lakini YEYE akamkinga na kumuepusha na kifo kwasababu ana malengo fulani na Lissu, kama ni uenyekiti wa Chadema, hilo limetimia, na kama ni kubwa zaidi ya hilo, pia litatimia!
P
Jina lenyewe lina herufi 17Kabla ya chaguzi utaweza kuangalia maandiko yangu. Niliota Mbowe kavaa jezi namba 17. Maana yake ni kwamba Mbowe anaungwa mkono au ni shabiki wa namba 17.
Sasa kwenye maono ya kiimani kumbe Lissu ndiye ambaye Mungu amekirimu katika namba 17 yaani 2017. Huu ndiyo mwaka ambao Mungu alimponya maisha yake dhidi ya kifo.
Kwenye imani ya namba (numeorogy) Lissu ni mtu mpya kuanzia 2017 kwasababu maisha yake yameokolewa.
Ukiota namba 17 ni Lissu
There you are!. Kila kitu hupangwa na Mungu!. Kama amempangia mtu awe, then ni lazima atakuwa!.If we go down to that level then Mungu ana makusudi na kila mmoja wetu