Kwa wenye imani na numeorogy: Namba 17 ni Lissu

HILO NALO LITATIMIA
 
HILO NALO LITATIMI
YEYE ndio kila kitu!, ni Alfa na Omega!.
P
Hakika Bro Pascal Mayalla ni YEYE ni Mwanzo na Mwisho ... akianzisha jambo nj kwa sababu alikwisha kulimaliza
 
Upo sahihi sana. Na hivyo wanaosema MUNGU ana makusudi na TAL nao wapo sahihi! Usiwakatalie!
 
Elimu ya namba ni utabiri tu wa kupiga bao. Ninyi endeleeni kupiga bao huku muda wa UCHAGUZI mkuu unakaribia wakati huo huo hakuna mabadiliko katika katiba Wala KATIBA MPYA. Tujajili namna ya kupata KATIBA MPYA na TUME HURU YA UCHAGUZI.
 
Mkuu Pascal Mayalla

Kiuhalisia TL alikufa 2017, huyu tuliyenaye ni Lissu mpya, ambaye ni mpango special ambao hata yeye Lissu mpya haujui.

Kikubwa Tanzania mpya imefika.
 
Utajua hujui #ni YEYE
 
Mkuu Pascal Mayalla

Kiuhalisia TL alikufa 2017, huyu tuliyenaye ni Lissu mpya, ambaye ni mpango special ambao hata yeye Lissu mpya haujui.

Kikubwa Tanzania mpya imefika.
Mkuu 50thebe , naunga mkono hoja, ila wenye jicho la kuona hilo ni wachache!, mimi nimeliona, nilichofanya ni kuwaomba kile chetu, kiruhusu mapenzi ya BWANA yatimizwe!, this time around, wasiilete ile michezo ya Nape ya bao la mkono!, they will all be wiped!. Magufuli alikuwa na kibali kikafutwa! Rais ni kibali, anajitambua? Je, tumsaidie atimize matakwa ya kibali chake ili kisifutwe, au tumuachie mwenyewe? kitu kizuri nilichowasaidia, ni kuwaandaa kisaikolojia kuhusu 2025 Kilichotokea Uchaguzi wa Marekani, kinaweza kutokea Uchaguzi 2025?. Tuyatumie matokeo yao kama shamba darasa la 2025 au wao ni wao, na sisi ni sisii?

P
 
Upo sahihi sana. Na hivyo wanaosema MUNGU ana makusudi na TAL nao wapo sahihi! Usiwakatalie!
Naunga mkono hoja, hata Lissu nilimshauri kitu
P
 
Unajua sometimes kaka unakuwaga na uelewa mkubwa sana
 
Mkuu Pascal Mayalla

Kuhusu mwanadamu kupewa kibali Kisha kibali kufutwa ni kama umeandika kila kitu. Sina la kupunguza humo.

Bila shaka Tundu Lissu mpya hili analifahamu na kulifanyia kazi ipasavyo.

Tuendelee kuombeana zawadi ya uzima na siha jadidi.
 
Aisee....

It's very rare to expect a statement like this coming from a person like you Mr Pascal Mayalla describing a leader from opposition political party specific of Tundu Lissu kind who is a great critic of a ruling political party - CCM to where you belong...
 
Ukiwa mkweli na kusimama kwenye kweli, unakuwa kama mimi nilivyo!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…