Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
Nyie endeleni kwanza ujue katika kutoa wazo Kuna makundi Kama manne iv ya watu innovator, early adopter, early majority na laggards Sasa Mimi Niko ilo la early majorityTayari ambao wako ndani ni watatu ukijumuisha na mimi mwenyewe.
Hivyo tuna 150,000/- Ahadi bado 650,000/-Tupate mashine moja na vifaa vyake.
Ambapo tutakuwa na uwezo wa kutoa ajira kwa kijana 1.
Tuendelee kusapoti wazo wadau au kama kuna ushauri na maoni yanahitajika.