Transistor JF-Expert Member Joined Aug 8, 2013 Posts 1,061 Reaction score 1,637 Oct 4, 2019 Thread starter #61 WhatsApp Group Invite WhatsApp Group Invite chat.whatsapp.com
CONTROLA JF-Expert Member Joined Sep 15, 2019 Posts 7,001 Reaction score 23,449 Oct 4, 2019 #62 Hiii sidhani kama ina faida kwa maelezo yako ila naiona ina faida kwa Mtu mwenye saloon Badala ya kutumia Generator umeme ukikatika unakua unatumia hii mashine Na uhakika itafaa sana sana naa itasaidia sana hii kitu SWALI INADUMU na chaji kwa muda gani? je kwa kipindi ambacho kuna mvua mvua no JUA hata siku nzima Hii mashine utendaji kazi wake ukoje? Yani naomba unielekeze hii kifaa inauwezo wa kufanya kazi bila kuzima kwa Muda gani na kwa JUA la kiasi gani? Transistor nipe information za kina kuhusu hili na vipi kuhusu matengenezo yake mashine itakapo shake kidogo? ikiharibika service yake nani anaifnya fundi ni nani? naomba maelezo ya kina
Hiii sidhani kama ina faida kwa maelezo yako ila naiona ina faida kwa Mtu mwenye saloon Badala ya kutumia Generator umeme ukikatika unakua unatumia hii mashine Na uhakika itafaa sana sana naa itasaidia sana hii kitu SWALI INADUMU na chaji kwa muda gani? je kwa kipindi ambacho kuna mvua mvua no JUA hata siku nzima Hii mashine utendaji kazi wake ukoje? Yani naomba unielekeze hii kifaa inauwezo wa kufanya kazi bila kuzima kwa Muda gani na kwa JUA la kiasi gani? Transistor nipe information za kina kuhusu hili na vipi kuhusu matengenezo yake mashine itakapo shake kidogo? ikiharibika service yake nani anaifnya fundi ni nani? naomba maelezo ya kina