Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
Nyie endeleni kwanza ujue katika kutoa wazo Kuna makundi Kama manne iv ya watu innovator, early adopter, early majority na laggards Sasa Mimi Niko ilo la early majorityTayari ambao wako ndani ni watatu ukijumuisha na mimi mwenyewe.
Hivyo tuna 150,000/- Ahadi bado 650,000/-Tupate mashine moja na vifaa vyake.
Ambapo tutakuwa na uwezo wa kutoa ajira kwa kijana 1.
Tuendelee kusapoti wazo wadau au kama kuna ushauri na maoni yanahitajika.
Nyie endeleni kwanza ujue katika kutoa wazo Kuna makundi Kama manne iv ya watu innovator, early adopter, early majority na laggards Sasa Mimi Niko ilo la early majority
Asante kwa wanaoendelea kujiunga tuendelee kujiunga pia tushirikishe wadau wengine nje ....tunaweza tukafanya kitu kikubwa kwa pamoja.WHATSUP GROUP LINK LA PROJECT HII NI
unaweza ukashare na kwa wadau wengine
Durability ya mashine ni zaidi ya asilimia 90.Imekua design kwa kazi hiyoVipi kuhusu durability yake?, inaweza kudumu kwa muda gani ,and per day inaweza kupiga kazi for how long,haipati moto ile inabidi usubiri mpaka ipoe poe kidogo ndyo uendelee?,je hali ya hewa haiathiri utendaji wake mfano msimu wa mvua inapiga kazi kama kawaida?
Fursa nzurii
Shukrani mkuu tukijaaliwaHii hapana ila ikija biashara nyingine uni tag mkuu.
Kuhusu life span ni hiviVipi kuhusu durability yake?, inaweza kudumu kwa muda gani ,and per day inaweza kupiga kazi for how long,haipati moto ile inabidi usubiri mpaka ipoe poe kidogo ndyo uendelee?,je hali ya hewa haiathiri utendaji wake mfano msimu wa mvua inapiga kazi kama kawaida?
Fursa nzurii
Wastani wa kunyoa watu 20 Hadi 22Ukichaji unaweza kutumia kwa muda gani?