Kwa wenye mtaji kuanzia 50,000/- tuungane tuwekeze katika hili

Hapa ni ofisi ya kijiji cha vikumburu wilaya ya kisalawe.Kijana Salehe akikabidhiwa mtambo na mashine yake mbele ya Afisa mtendaji wa kijiji hicho.
 
MMMhhh Risk ya kuzunguka na kibasikeli chako umebeba na mashine na pesa kusaka wateja ni kubwa sana!
 
MMMhhh Risk ya kuzunguka na kibasikeli chako umebeba na mashine na pesa kusaka wateja ni kubwa sana!
Ni kweli;Itabidi ushauri namna gani tutakabiliana na Hilo;kwasababu hatari hiyo ipo kwenye sector nyingi za utafutaji.
 
Hapa ni ofisi ya kijiji cha vikumburu wilaya ya kisalawe.Kijana Salehe akikabidhiwa mtambo na mashine yake mbele ya Afisa mtendaji wa kijiji hicho.
Kijana salehe [emoji23] [emoji23] anayoa sikuhizi daah.
 

Nilishakwambia tokea kitambo kuwa wewe ni Millionaire haujajua tu.

Pia si lazima iwe 50,000/- hicho kinaweza kuwa ni kiasi cha kuanzia. Mnaweza ruhusu watu wenye uwezo hata wa kutoa 200,000/- ilimradi mgawango wa faida uzingatie uwiano wa kiasi cha uwekezaji.
 
MCHANGANUO WA UWEKEZAJI

Mtaji ni Tsh 800,000/- kwa project 1

Kiasi cha chini cha uwekezaji mtaji ni 50000 kwa project 1

IDADI YA HISA

Mtaji mkuu 800,000 ÷ kiwango cha chini cha uchangiaji 50,000 = jumla ya hisa 16

Mwekezaji anaweza kununua zaidi ya hisa 1

Kwa mtaji wa 800,000;kadilio la kati la faida kwa mwezi ni 120,000

Faida ÷ idadi ya hisa

120000 ÷ 16 = 7500

Gawio la kati la faida kwa kila hisa ni = 7,500 kadilio la juu 8,000 kadilio la chini 5,000

Kwa maelezo zaidi rejea katika mchanganuo wa mradi.

Maswali zaidi uliza
 
Maelezo mengi yapo katika group mnakaribishwa
 
ukweli mchungu kwamba hapa ndio nimejua maana hasa ya 'hisa' 😀
 
Nahitaji kununua binafsi uwepo tu kama aset
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…