Kwa wenye mtaji kuanzia 50,000/- tuungane tuwekeze katika hili

Hiii sidhani kama ina faida kwa maelezo yako

ila naiona ina faida kwa Mtu mwenye saloon

Badala ya kutumia Generator umeme ukikatika unakua unatumia hii mashine

Na uhakika itafaa sana sana naa itasaidia sana hii kitu

SWALI


INADUMU na chaji kwa muda gani?

je kwa kipindi ambacho kuna mvua mvua no JUA hata siku nzima Hii mashine utendaji kazi wake ukoje?

Yani naomba unielekeze hii kifaa inauwezo wa kufanya kazi bila kuzima kwa Muda gani na kwa JUA la kiasi gani?

Transistor nipe information za kina kuhusu hili na vipi kuhusu matengenezo yake mashine itakapo shake kidogo?

ikiharibika service yake nani anaifnya fundi ni nani? naomba maelezo ya kina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…