Kwa wenye Ndiga wanao ujua mfumo wa malipo ya uegeshwaji wa magari na changamoto zake naomba msaada

Kwa wenye Ndiga wanao ujua mfumo wa malipo ya uegeshwaji wa magari na changamoto zake naomba msaada

TheForgotten Genious

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
2,087
Reaction score
3,156
Naomba kujua changamoto mnazokutana nazo katika mfumo wa TARURA wakulipia maegesho watu mnaomiliki vyombo vya moto hasa katika vipengele hivi;

1.Uharaka katika kufanya malipo.

2.Usahihi katika gharama na muda uliotumika.

3.Usaidizi wakati wa kuegesha

4.Kujua sehemu sahihi ya kupaki iliyowazi hata kabla humaniza katika eneo husika.

5.Ubora wa watoa huduma wa kuongoza maegesho.

6.Ubora katika huma Za wateja.

Natanguliza Shukurani.
 
Back
Top Bottom