Mfano Je ni wazo zuri kuanza kununua vitu vyenye gharama kubwa kidogo kidogo kama mbao, Rangi, Gypsum, bati, tiles, misumari n.k??
-
Ndio Wazo zuri.
- Ila isiwe in terms of physical items, ili kuepuka risk zinzoweza kujitokeza.
- Bali iwe in terms of USD
- Kivipi in terms of usd?? Fanya hivi.
1. Fungua account maalum ya USD,
- Account hii ya USD ina sifa hizi
a] Haina makato kwa muda wote utakao hifadhi fedha yako kwa USD
, b] Iwapo umeweka US $100
kama mfano, ikifika wakati wa kutoa utatoa hiyo hiyo $100 bila makato. kwa exchange rate ya wakati huo.
2. Chukulia lengo ni kununua BATI, basi fahamu bati zitaghalimu TZS ngapi, Then tafuta hicho kiasi husika cha kununulia bati, then nenda kahifadhi kwenye account yako ya USD, Weka
Tick kwenye BATi kwamba tayari
umefanya manunuzi ya Bati.
3. Endelea hivyo hivyo kwa kila unachotaka kununua, hadi unakamilisha ujenzi wako.
Faida ya kutumia benki account. Ni hii
- Hakuna kuhofia kuibiwa bati zako au
- Hakuna kuhofia kuharika au kuharibiwa kwa items kama Gypsum nk
Haijarishi utachukuamuda gani kufikia lengo, ila hakika fedha yako/material zako za ujenzi, itakuwa salama.
Je ni benki ipi yenye USD account na haina makato yeyote unapoweka na unapotoa fedha yako. Nenda
FNB Bank, na gungua USD account aitakayouwezesha ku_save fedha yako tu. Na utatoa mara moja kwa mkupuo. Fanya utafiti zipo benki zingine zitakuwa na account kama hii niliyotolea mfano.
Kila lakheri