Kwa wenye ndoto ya kujenga ila budget ndogo mje tushauriane!

Kwa wenye ndoto ya kujenga ila budget ndogo mje tushauriane!

Hebu fikiria, una familia na watoto na wewe familia inakutegemea kwa kila kitu.

Hebu fikiria ukiondoka duniani ingawa hatuombei, familia yako itabakije kwenye nyumba ya kupanga, nini utawaachia kama ukumbusho wa kudumu.

Najua unasema utanunua kiwanja ukipata pesa nyingi.

UWEKEZAJI BORA NI KWENYE ARDHI.

Hata hizi hapa ofa.

Eneo lenye ukubwa wa heka 45 linauzwa eneo lipo mkoa wa pwani vigwaza visezi barabara ya kuelekea bandari kavu eneo ni zuli kwa kujenga yard gereji na Mambo mengine bei kwa kila heka moja mil 3 tu kutoka barabara ya zege miter 400 tu maji umeme vipo hapo

Eneo lingine lipo mkoa wa pwani pia maeneo ya chalinze heka 100 kila heka moja bei ni mil 1 eneo lipo umbali wa km 7

Na lipo lingine pingo chalinze km 2 bei mil 2 kwa kila heka zipo heka 10

Na lipo lingine heka 8 kila heka bei mil 1.5 umbali wa km 3 tu .

Pia tuna heka saba makurunge,bagamoyo,kila heka 3M.

Viwanja pia vya meter 25× 20 vipo Kibaha madafu kwa 3M

Viwanja vya 25× 20 mbezi msakuzi 3M.

Goba 20*20 =18M

Hujaona cha uwezo wako.? Basi njoo Vikindu kuna viwanja mpaka vya LAKI nane.

Nipigie leo 0762815104
 
kwahyo akifungua local account kuna shida gani mpka alazimike kufungua USD account.
kama ni nidhamu ya matumizi ya pesa anayo hakuna haja

Sent from my SM-M307F using JamiiForums mobile app
faida ya USD account ni kubwa maana hela zetu hivi za madafu zinashuka kila kukicha so ukiwekeza kwa kwa USD utapata faida maana tathmini ya garama inakua iko pale pale so mfano unepiga mahesabu msingi unahitaji cement mifuko 50 mfuko mmoja ni 25000 elfu uki ichange ukaweka kwa dollar utapata faida ila weka kwny hela ya madafu sasa by the time umemaliza kuwekeza mifuko 50 dhamani ya cement itakuwa sio 25000 elfu tena ila itakuwa 28000 so hapo huwez pata mifuko 50 uliyokusudia bt ukiweka kwa dollar ni faida maana haishuki dhamani bali inapanda
 
Mkuu unatema Sana madini na naomba usinichoke kwa maswali.
Pia vipi kuhusu kale kamkanda ka Renta kabla ya kuanza madirisha. Nayo hiyo Renta huwa na kazi gani!??? Je nikiweka kamkanda ka chini Haina haja ya kuweka kamkanda hako ka kabla ya madirisha,ama ninaweza nisiweke kamkanda ka juu ila nikaweka kamkanda ka juu!!??
usijali chief ndo maana halisi ya home of great thinkers kupata nondo ya vitu mbali mbali.
kiuhalisia lintel ina kazi yake tofauti na umuhimu wake. unajua kwny ujenzi kuna load distribution ambapo kila member kuanzia kuta, beams n.k kazi zao kubwa ni kudistribute mzigo wa jengo kwny msingi so lintel inachukua mzigo wa paa na ku udistribute kwa usawa kwny kuta hadi kwny mkanda wa msingi na mwisho chino.

soo muhimu zaidi ni kwny opennings hasa madirisha na milango kuwepo na lintel maana pale ni week point ambapo hakuna tofali so kwa mantiki hiyo kama unataka kusave garama lintel ni muhimu iwepo kwny opennings zote. unaweza usizungushe nyumba nzima bt kwny madirisha na milango ni muhimu sanaa
 
local account kuna shida gani
  • Fedha yako inapungua kutokananna makato ya kila mwezi.
  • Kuna makato pindi unatoa hiyo fedha yako.
  • Thamani ya shilingi huwa inapungua ukilinganisha na dola | US $
Hivyo ni salama na ni faida zaidi kutumia hiyo account maalum ya USD kuhifadhi fedha yako.
 
mfano unepiga mahesabu msingi unahitaji cement mifuko 50 mfuko mmoja ni 25000 elfu uki ichange ukaweka kwa dollar utapata faida ila weka kwny hela ya madafu sasa by the time umemaliza kuwekeza mifuko 50 dhamani ya cement itakuwa sio 25000 elfu tena ila itakuwa 28000 so hapo huwez pata mifuko 50 uliyokusudia bt ukiweka kwa dollar ni faida maana haishuki dhamani bali inapanda
✌️👍 Sahihi kabisa. Nifaida kuhifashi fedha kwa USD
 
Kwa kweli nin kaka angu mmoja alianza kujenga kwa bajeti ndogo Sana mm Hadi kumkopesha laki tano za fundi kipindi hcho sas HV amekamilisha nyumba yake

Sas namm nimepanga acha nijilipue tu na hzo kamilion chamngu nakitegemeaa mahali

Hata ka contemporary inatoshaView attachment 2426400
Desire of enriching our dreams...
Hii nyumba sio muuza supu.....
 
Shukrani Sana Kwa maelezo yako mazuri mkuu. Mfano nimejenga msingi wa mawe mwaka huu na naacha unyeshewe na mvua msimu mzima ili msingi uweze kutitia ama kujisimika vizuri.
Nisipoanza na kamkanda itaniathiri Sana!!!
😂😂😂😂😂Mkuu sema Mimi na wewe hatuna ubavu wa kufululiza ujenzi km uhalisia ulivyo lkn usijifariji na hii Hoja ya kujisimika msingi sijui kutitia😂😂😂.... Defense mechanisms sio nzuri kwenye uhalisia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu sema Mimi na wewe hatuna ubavu wa kufululiza ujenzi km uhalisia ulivyo lkn usijifariji na hii Hoja ya kujisimika msingi sijui kutitia[emoji23][emoji23][emoji23].... Defense mechanisms sio nzuri kwenye uhalisia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]vitu vizuri tunavipenda sema uwezo mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]vitu vizuri tunavipenda sema uwezo mkuu
Dah Basi tu haya maisha Yana gaps zake .....tuendelee kupambana ila kujizuka kwenye nyumba ya kupanga km muhindi anaewaza kurudi kwao muda wowote kikinuka Ni udwanzi sana
 
- Ndio Wazo zuri.

- Ila isiwe in terms of physical items, ili kuepuka risk zinzoweza kujitokeza.

- Bali iwe in terms of USD

- Kivipi in terms of usd?? Fanya hivi.
1. Fungua account maalum ya USD,
- Account hii ya USD ina sifa hizi a] Haina makato kwa muda wote utakao hifadhi fedha yako kwa USD, b] Iwapo umeweka US $100 kama mfano, ikifika wakati wa kutoa utatoa hiyo hiyo $100 bila makato. kwa exchange rate ya wakati huo.

2. Chukulia lengo ni kununua BATI, basi fahamu bati zitaghalimu TZS ngapi, Then tafuta hicho kiasi husika cha kununulia bati, then nenda kahifadhi kwenye account yako ya USD, Weka Tick kwenye BATi kwamba tayari umefanya manunuzi ya Bati.

3. Endelea hivyo hivyo kwa kila unachotaka kununua, hadi unakamilisha ujenzi wako.

Faida ya kutumia benki account. Ni hii
  • Hakuna kuhofia kuibiwa bati zako au
  • Hakuna kuhofia kuharika au kuharibiwa kwa items kama Gypsum nk
Haijarishi utachukuamuda gani kufikia lengo, ila hakika fedha yako/material zako za ujenzi, itakuwa salama.

Je ni benki ipi yenye USD account na haina makato yeyote unapoweka na unapotoa fedha yako. Nenda FNB Bank, na gungua USD account aitakayouwezesha ku_save fedha yako tu. Na utatoa mara moja kwa mkupuo. Fanya utafiti zipo benki zingine zitakuwa na account kama hii niliyotolea mfano.

Kila lakheri
Mkui FNB since April ishafungwa..haina huduma nchini
 
- Ndio Wazo zuri.

- Ila isiwe in terms of physical items, ili kuepuka risk zinzoweza kujitokeza.

- Bali iwe in terms of USD

- Kivipi in terms of usd?? Fanya hivi.
1. Fungua account maalum ya USD,
- Account hii ya USD ina sifa hizi a] Haina makato kwa muda wote utakao hifadhi fedha yako kwa USD, b] Iwapo umeweka US $100 kama mfano, ikifika wakati wa kutoa utatoa hiyo hiyo $100 bila makato. kwa exchange rate ya wakati huo.

2. Chukulia lengo ni kununua BATI, basi fahamu bati zitaghalimu TZS ngapi, Then tafuta hicho kiasi husika cha kununulia bati, then nenda kahifadhi kwenye account yako ya USD, Weka Tick kwenye BATi kwamba tayari umefanya manunuzi ya Bati.

3. Endelea hivyo hivyo kwa kila unachotaka kununua, hadi unakamilisha ujenzi wako.

Faida ya kutumia benki account. Ni hii
  • Hakuna kuhofia kuibiwa bati zako au
  • Hakuna kuhofia kuharika au kuharibiwa kwa items kama Gypsum nk
Haijarishi utachukuamuda gani kufikia lengo, ila hakika fedha yako/material zako za ujenzi, itakuwa salama.

Je ni benki ipi yenye USD account na haina makato yeyote unapoweka na unapotoa fedha yako. Nenda FNB Bank, na gungua USD account aitakayouwezesha ku_save fedha yako tu. Na utatoa mara moja kwa mkupuo. Fanya utafiti zipo benki zingine zitakuwa na account kama hii niliyotolea mfano.

Kila lakheri
Asante kwa ushauri mzuri.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wekeza kupata kiwanja,wekeza kwenye tofali za kuanzia,kokoto,mawe au NONDO za kuanzia.wapo wafanyabishara waaminifu mfano tofali unawekeza kidogo kidogo,hata NONDO na cement unaanza lipia mdogo mdogo sehemu ya kuaminika,hatafu tafuta nguvu ya kuwezesha mafundi kuanza kazi kadiri ya ulivyojipanga.
Umasikini tu huo
 
Usijaribu,akifa usiku ghafla,utalia kilio cha mbwa
Sasa atafanya yote hayo asiwe na mtu wa kumshirikisha kweli Mkuu?

Namshauri huko anapowekeza wanatoa risiti,anaweza kushea na mtu wake wa karibu..
 
Keep it up man...
Now najikusanya nianze juu pale
Sielew how na lin ila najua ntafikia tu
Amina sana mkuu, one day tutatokea kwenye mijengo yetu!
 
Back
Top Bottom