Kwanza kiwanja,ukishanunua kiwanja peleka materials kidogo kidogo mf mawe,tofali,mchanga ,kokoto kwa ajili ya msingi huwezi kuanza kuweka hivyo ulivyo vitaja wakati bajeti yako ndogo unaweza usimalize bomaNimegundua ukitaka kujenga ukisubiri Pesa zijae hata kibanda hutajenga, Basi sasa mliojenga ama wenye malengo ya kujenga ila bajeti inabana tushauriane ni bidhaa zipi tuanze kununua mdogo mdogo ili kufanikisha ndoto ya kujenga.
Mfano Je ni wazo zuri kuanza kununua vitu vyenye gharama kubwa kidogo kidogo kama mbao, Rangi, Gypsum, bati, tiles, misumari n.k??
Tushauriane tufanikishe ndoto ya Kumiliki Mijengo yetu!!
Nina kiwanja mkuu, sehemu kiwanja kilipo kiwanja, Mawe na Mchanga na kokoto vinapatikana kwa gharama nafuu, ndio maana nikajaribu kuuliza kama ni idea nzuri kuanza kununua hivo nilivotaja!Kwanza kiwanja,ukishanunua kiwanja peleka materials kidogo kidogo mf mawe,tofali,mchanga ,kokoto kwa ajili ya msingi huwezi kuanza kuweka hivyo ulivyo vitaja wakati bajeti yako ndogo unaweza usimalize boma
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Wekeza kupata kiwanja,wekeza kwenye tofali za kuanzia,kokoto,mawe au NONDO za kuanzia.wapo wafanyabishara waaminifu mfano tofali unawekeza kidogo kidogo,hata NONDO na cement unaanza lipia mdogo mdogo sehemu ya kuaminika,hatafu tafuta nguvu ya kuwezesha mafundi kuanza kazi kadiri ya ulivyojipanga.Nimegundua ukitaka kujenga ukisubiri Pesa zijae hata kibanda hutajenga, Basi sasa mliojenga ama wenye malengo ya kujenga ila bajeti inabana tushauriane ni bidhaa zipi tuanze kununua mdogo mdogo ili kufanikisha ndoto ya kujenga.
Mfano Je ni wazo zuri kuanza kununua vitu vyenye gharama kubwa kidogo kidogo kama mbao, Rangi, Gypsum, bati, tiles, misumari n.k??
Tushauriane tufanikishe ndoto ya Kumiliki Mijengo yetu!!
Usijaribu,akifa usiku ghafla,utalia kilio cha mbwaWekeza kupata kiwanja,wekeza kwenye tofali za kuanzia,kokoto,mawe au NONDO za kuanzia.wapo wafanyabishara waaminifu mfano tofali unawekeza kidogo kidogo,hata NONDO na cement unaanza lipia mdogo mdogo sehemu ya kuaminika,hatafu tafuta nguvu ya kuwezesha mafundi kuanza kazi kadiri ya ulivyojipanga.
Ndio mkuu,kufa kupoMkuu unaogopa mfanyabiashara atakufa?
Unapewa risiti inasema bado kuchukua,copy inabaki ofisini moja ya kwako ya kufuata mzigo ukiwa tayari, biashara endelevu ni uaminifu na huduma bora.Usijaribu,akifa usiku ghafla,utalia kilio cha mbwa
Watu wanaishi maisha hayo,uoga wako ndio umaskini wakoUsijaribu,akifa usiku ghafla,utalia kilio cha mbwa
Hapo hapo anza taratibu usiwe na haraka usijipunje hata kukosa hela ya kula jaribu kubalance taratibu ,angalia peter msechu kajenga nyumba kwa miaka mitano Tena nyumba ya ndoto yake .asante mkuu, bahati njema kiwanja ninacho tayari!
I speak from experience,yalishanikuta,biashara zwtu nyingi zimesajiliwa ila zinaendeshwa kilocal sana,usitegemee kulipwa in case huyo mfanyabiashara kafa ghafla au kapata tatizo,nunua material peleka site,mabati tiles peleka nyumbani,kwanza material yakiwa site yanakupa wenge la kuanza ujenzi fasta,imagine site kuna tofali,mawe,mchanga,kokoto ,hata kama ni trip mbilimbili kuna fukuto la kuanza msingi litakuijia tuUnapewa risiti inasema bado kuchukua,copy inabaki ofisini moja ya kwako ya kufuata mzigo ukiwa tayari, biashara endelevu ni uaminifu na huduma bora.
- Ndio Wazo zuri.Mfano Je ni wazo zuri kuanza kununua vitu vyenye gharama kubwa kidogo kidogo kama mbao, Rangi, Gypsum, bati, tiles, misumari n.k??
Hapana shirikisha na mtu wako wa karibu uende nae dukan huwa tunafanya hizo mamboUsijaribu,akifa usiku ghafla,utalia kilio cha mbwa
Nasubiri maoni ya wadau maana na Mimi nataka kupata hizo nondo kwani nimejenga msingi tu hapa natafuta hela ya kusimamisha boma.Nimegundua ukitaka kujenga ukisubiri Pesa zijae hata kibanda hutajenga, Basi sasa mliojenga ama wenye malengo ya kujenga ila bajeti inabana tushauriane ni bidhaa zipi tuanze kununua mdogo mdogo ili kufanikisha ndoto ya kujenga.
Mfano Je ni wazo zuri kuanza kununua vitu vyenye gharama kubwa kidogo kidogo kama mbao, Rangi, Gypsum, bati, tiles, misumari n.k??
Tushauriane tufanikishe ndoto ya Kumiliki Mijengo yetu!!