Kwa wenye ndoto ya kujenga ila budget ndogo mje tushauriane!

Mwl kwanini FNB na sio banc abc kwa account ya usd?
 
Mwl kwanini FNB na sio banc abc kwa account ya usd?
FNB - deposit utafanya hata kwa njia ya simu kwenye account yako ya TZS, then utatumia APP kuhamisha fedha toka TZS account na kwenda ile account yako ya USD | Hivyo haikuhitaji kufika benki kwa ajiri ya deposit. | Nina account kwao.

BANCABC - deposit ya USD lazima uendele dirishani benki kufanya deposit | Ninayo USD account na nilisitisha matumizi baada ya huo ugumu wa kufanya deposit.(Sijui kwa sasa kama walisha boresha, wengine watatupa uzoefu wao) | Pia sijui kama USD account yao ina makato au haina, sababu sikutumia kabisa.
 
FNB ilinunuliwa na Exim Bank haipo tena Tanzania.
Ahsante. Nimeona tayari
Code:
https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/news/business/exim-bank-completes-acquisition-of-fnb-tanzania-3883616
 
Reactions: Ilu
FNB ilinunuliwa na Exim Bank haipo tena Tanzania.
Hawa Exim bank nina card yao ya prepaid, ukishadeposit huchukua muda kureflect kwenye bank account

Nilishawahi kufuatilia mwezi mzima pesa haikuwa inaonekana kwenye account.
 
Nondo muhim.maan kwnwy ujenz kama kiwanja kipo ukiwa na hata mil 5.boma linainuka.unapumua tena ukiweka hela bat mbao ufund.grill mbao blandering pumbing electriacal plasta body skimming
 
Fanya mchanganuo wa msingi wa nyumba yako kwanza, ukiijuwa gharama ya msingi tafuta hiyohela ya kuujenga msingi weka huwo msingi mimina floor yote, kunyanyua boma fanya vile vile. Hela usiwekeze kwa mtu fungua akaunti ya ujenzi wekeza huko.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Well
 

Hii benki kijijini kwangu hakuna

Umeelekeza kwa ufasaha sana na mtu mwenye kiu ya kumiliki nyumba, hakika amepata Mwanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…