greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,653
- 3,060
Za asubuhi wananchi wenzangu na watafutaji wenzangu...
Leo nimeamua ku-share na ninyi Kikotoo changu changu nilichokiunda kwa kutumia Program ya Microsoft excel kwa ajili ya kunisaidia kudadavua taarifa za kifedha za makampuni yote ya ndani yaliyo orodheshwa kwenye soko la hisa la Dar.
Mimi si msomi wa uchumi, ila niliamua kujifunza baadhi ya vitu vya masuala ya soko la mitaji na kujua kwa namna gani nzuri naweza weka pesa kwenye Makampuni sahihi.
Taarifa zilizopo...
1. Makampuni ya ndani
2. Zinatokana na data za Financial statements za hayo makampuni.
3. Taarifa ni za kuanzia 2019 hadi 2022
4. Kuna baadhi ya makampuni hakuna taarifa,kwani hawakuchapisha statements
5. Nimejaribu kuonesha kampuni tano nzuri kwa kila mwaka
Kwasasa ndiyo nipo nachambua taarifa za mwaka wa fedha wa 2023,baadhi ya kampuni tayari zimeshachapisha...
PASSWORD NI : JAMII