Kwa wenye nia ya kuwekeza na soko la hisa D.S.E

Za asubuhi wananchi wenzangu na watafutaji wenzangu...
Leo nimeamua ku-share na ninyi Kikotoo changu changu nilichokiunda kwa kutumia Program ya Microsoft excel kwa ajili ya kunisaidia kudadavua taarifa za kifedha za makampuni yote ya ndani yaliyo orodheshwa kwenye soko la hisa la Dar.

Mimi si msomi wa uchumi, ila niliamua kujifunza baadhi ya vitu vya masuala ya soko la mitaji na kujua kwa namna gani nzuri naweza weka pesa kwenye Makampuni sahihi.

Taarifa zilizopo...
1. Makampuni ya ndani
2. Zinatokana na data za Financial statements za hayo makampuni.
3. Taarifa ni za kuanzia 2019 hadi 2022
4. Kuna baadhi ya makampuni hakuna taarifa,kwani hawakuchapisha statements
5. Nimejaribu kuonesha kampuni tano nzuri kwa kila mwaka

Kwasasa ndiyo nipo nachambua taarifa za mwaka wa fedha wa 2023,baadhi ya kampuni tayari zimeshachapisha...

PASSWORD NI : JAMII

Ukianzisha Uzi nitag mkuu....
Hivi vitu muhim sana
 
Wakuu habari zenu, naombeni mwenye elimu ya uwekezaji huu anifungue ubongo kidogo, namna ya kununua hisa, je mtaji unaweza kuwa kiasi gani kwa kima cha chini kabisa
 
Ni elimu ndefu kidogo ila muhimu kumbuka kuna masoko makuu mawili soko la awali (primary market) na soko la upili ( secondary market). Soko la awali ni pale unaponunua hisa za kampuni pale inapotaka kukuza mtaji wake kwa mala ya kwanza kupitia jamii yani public hii inaitwa initial public offering mara nyingi ukinunua hisa kwa njia hii wewe utakuwa ordinary share order na bei ya hisa moja inakuwaga nafuu kulingana na valuation ya kampuni iliyofanyika. Hisa zikisha uzwa katika soko la awali kwa mara ya kwanza nakupatikana ordinary share order kampuni hisa za kampuni usajili wa kwenye soko la upili yani secondary market na kwa hapa tanzania ni soko la hisa Dar es salaam. Sasa basi hisa za kampuni ni kama bidhaa nyingine zozote sokoni kwahyo unaweza kununua hisa za kampuni yoyote ile muladi tuu iwe imesajiliwa kwenye soko la hisa. Utanunua hisa na kuziuza kupitia kwa madalali wa soko la hisa walio sajiliwa na soko.
 
NICOL bado ipo?
Nilinunua hisa nafikiri ilikuwa 2007.
Kama ulinunua hisa kipindi hiko ambapo hisa 1 ilikuwa 100+ na sasa hisa moja ni 800 ,yaani hisa zako zitakuwa zimeongezeka thamani kwa zaidi ya 800%....
zikimbilie chap,hatakama hautaki gawio unaweza zitumia kama dhamana ya mkopo benki hasa CRDB.
 
Naomba kuuliza kama naweza kuuza Hisa zangu za JATU au walishafungiwa hadi DSE kuuza na kununua HISA?
Jatu bado ipo DSE....
Kila hisa moja ni tsh 265....Ila sasa itakuwa ngumu kupata watu wa kununua hisa....
Avoid kununua hisa kwa makampuni mapya ambayo hayana hata miaka 7 tangia kuanzishwa,kwa mana Bongo watu sio wawekezaji kwenye makampuni hayo,tunataka mpaka tuone umefanikiwa sana,,,,mfano kampuni ya yule Mbongo mhindi Fernandes na ile kampuni yake ya NALA,huku tumemzungusha kaenda kupata mtaji New York Stock Exchange
 
Mkuu ahsante kwa ushauri mzuri.
Ila nauliza;
1. Endapo wateja wote wa Hisa za JATU wakiamua kuzisusa Hisa zao hatma yake itakuwaje? Je, zitataifishwa au zitakuwa mali ya DSE?
2. Je, akitokea mtu/kampuni lenye mtaji mkubwa na akaamua kuzinunua hizo hisa kwa bei anayoitaka labda 250 kwa Hisa, halafu baadaye akaziuza labda kwa bei ya kuanzia 255 na kuendelea, utaratibu wake ukoje?
3. Je, naweza kuendelea kununua Hisa za JATU PLC licha ya kwamba kwa sasa hawazalishi wala kutoa huduma yoyote ile?
 
Faida ya kwenye inapatikana kwa
  • Kununua na kuuza
  • Kupata gawio la mwaka
  • Kutumia kama dhamana ya kuombea mikopo
  • Kutumia kama dhamana katika uwekezaji
  • Kudhibiti kushuka thamani kwa hela yako...
Kama wote mtagoma hisa zitabaki/...Hisa ni umiliki wako wa kampuni.
 
Mkuu ahsante kwa ushauri mzuri.
Ila nauliza;
1. Endapo wateja wote wa Hisa za JATU wakiamua kuzisusa Hisa zao hatma yake itakuwaje? Je, zitataifishwa au zitakuwa mali ya DSE?
2. Je, akitokea mtu/kampuni lenye mtaji mkubwa na akaamua kuzinunua hizo hisa kwa bei anayoitaka labda 250 kwa Hisa, halafu baadaye akaziuza labda kwa bei ya kuanzia 255 na kuendelea, utaratibu wake ukoje?
3. Je, naweza kuendelea kununua Hisa za JATU PLC licha ya kwamba kwa sasa hawazalishi wala kutoa huduma yoyote ile?
2.
Hawezi kununua kwa bei anayoitaka ni suala la makubaliano kati ya nyie na yeye...
Mtu hauwezi kwenda Boma ukanunua bidhaa kwa bei unayoitaka,ni suala la makubaliano.
 
Mkuu ahsante kwa ushauri mzuri.
Ila nauliza;
1. Endapo wateja wote wa Hisa za JATU wakiamua kuzisusa Hisa zao hatma yake itakuwaje? Je, zitataifishwa au zitakuwa mali ya DSE?
2. Je, akitokea mtu/kampuni lenye mtaji mkubwa na akaamua kuzinunua hizo hisa kwa bei anayoitaka labda 250 kwa Hisa, halafu baadaye akaziuza labda kwa bei ya kuanzia 255 na kuendelea, utaratibu wake ukoje?
3. Je, naweza kuendelea kununua Hisa za JATU PLC licha ya kwamba kwa sasa hawazalishi wala kutoa huduma yoyote ile?
3.Kwa kampuni ambayo haifanyi shughuli yoyote basi hautoweza kununua hisa Mamlaka ya CMSA inaiwekea zuio...
 
Kama ulinunua hisa kipindi hiko ambapo hisa 1 ilikuwa 100+ na sasa hisa moja ni 800 ,yaani hisa zako zitakuwa zimeongezeka thamani kwa zaidi ya 800%....
zikimbilie chap,hatakama hautaki gawio unaweza zitumia kama dhamana ya mkopo benki hasa CRDB.
Nakumbuka nilinunua Share 660. Je leo zina thamani gani?
 
Back
Top Bottom