Kwa wenye uzoefu na hizi gari ndogo. Hili swali watu wameshindwa kujibu

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,254
Reaction score
5,161
Nimeona kwenye group moja la Telegram mdau anauliza hili swali. Tumeshindwa kujibu.

Wadau nani amewahi enda Dodoma kwa IST toka Dar? Alitumia mafuta ya tsh ngapi au lita ngapi?

Au

*Nani amewahi fanya safari ya Dar to Babati kwa IST? Alitumia mafuta ya tsh ngapi au lita ngapi?"
 
Ilikua Mwaka Jana karibia na January hii, nilitoka Dar-Tanga-Dodoma-Dar kwa IST namba DTP engine ndogo. Dodoma -Dar nilitumia approximately mafuta ya 80,000 maana hadi nafika Dar nilibaki na nusu tank kwa chini kidoogo
 
Nimeona kwenye group moja la Telegram mdau anauliza hili swali. Tumeshindwa kujibu.

Wadau nani amewahi enda Dodoma kwa IST toka Dar? Alitumia mafuta ya tsh ngapi au lita ngapi?

Au

*Nani amewahi fanya safari ya Dar to Babati kwa IST? Alitumia mafuta ya tsh ngapi au lita ngapi?"
Dar -Arusha,nilitumia lita 42 hivi,cc 1500. Full ac
 
Dar dodoma ni kilometa 460 mpaka 470 inategemea umeanzia kuhesabu wapi. Ist ina uwezo wa kubeba lita 45 full tank.

Ist inatembea average 15 km kwa lita, Chukua 470km gawa kwa 15km utapata lita 31.3 , So una uwezekano wa kutumia lita 32 kutoka dar na kufika dodoma ukabaki na lita 12 kama akiba kwenye tank.

Kwa maneno mengine ukiweka full tank ubungo, utafika dodoma mjini na robo tank yaani bar 2 na nusu za kuzurula pale mjini. Provided other factors za uendeshaji wako zipo constant.
 
Una ist yenye engine ipi, 1AZ au 2AZ? Hizi engine mbili zinaconsume tofauti.

Pia kuna uendeshaji. Watu wenye gari zenye ulaji sawa wanaweza kutumia mafuta ujazo tofauti kwenye umbali sawa kwasababu ya uendeshaji tuu.
 
1500 cc
 
Hizo 1AZ na 2AZ umesikia kwa kina nani
 
Ist 1290 nilitumia ya 150000 mpaka Tabora na kubaki na bar mbili...
 
Nimeona kwenye group moja la Telegram mdau anauliza hili swali. Tumeshindwa kujibu.

Wadau nani amewahi enda Dodoma kwa IST toka Dar? Alitumia mafuta ya tsh ngapi au lita ngapi?

Au

*Nani amewahi fanya safari ya Dar to Babati kwa IST? Alitumia mafuta ya tsh ngapi au lita ngapi?"

Dar dodoma mafuta ya 80000/- engine 2NZ
A/C unaganda
 
Nimeona kwenye group moja la Telegram mdau anauliza hili swali. Tumeshindwa kujibu.

Wadau nani amewahi enda Dodoma kwa IST toka Dar? Alitumia mafuta ya tsh ngapi au lita ngapi?

Au

*Nani amewahi fanya safari ya Dar to Babati kwa IST? Alitumia mafuta ya tsh ngapi au lita ngapi?"

Mkuu safari si mafuta peke yake, kuna maandalizi (engine service, tyres, brakes, cooling system iwe poa etc), dharura etc.

Mafuta factor ndogo tuu, weka full tank, yakibaki utapiga misele
 
Mimi spacio ya 1500cc nilitumia lita 60 full ac. Aya matumizi yapo sawa au niwaone kina fundi maiko? Nipe uzoefu wako mkuu
Nadhani haiko sawa sana...chek plugs,ujazo sahihi wa upepo,air filters,recomended oils n.k...pia kama uwendeshaji wako sio mzuri ni tatizo
 
Back
Top Bottom