Kwa wenye uzoefu na hizi gari ndogo. Hili swali watu wameshindwa kujibu

Kwa wenye uzoefu na hizi gari ndogo. Hili swali watu wameshindwa kujibu

Nimeona kwenye group moja la Telegram mdau anauliza hili swali. Tumeshindwa kujibu.

Wadau nani amewahi enda Dodoma kwa IST toka Dar? Alitumia mafuta ya tsh ngapi au lita ngapi?

Au

*Nani amewahi fanya safari ya Dar to Babati kwa IST? Alitumia mafuta ya tsh ngapi au lita ngapi?"
Mm nilifanya safari kutoka Dar to mbeya IST 1290 cc mwezi January Mwaka huu na nilibeba Watu 4...kipindi hicho mafuta yanacheza 3000-3200 kwa lita..nilitumia mafuta ya 150000...gari ilikuwa ilitumia wastan wa kilometa 17 per lita
 
Back
Top Bottom