Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Ilikua Mwaka Jana karibia na January hii, nilitoka Dar-Tanga-Dodoma-Dar kwa IST namba DTP engine ndogo. Dodoma -Dar nilitumia approximately mafuta ya 80,000 maana hadi nafika Dar nilibaki na nusu tank kwa chini kidoogoWadau nani amewahi enda Dodoma kwa IST toka Dar? Alitumia mafuta ya tsh ngapi au lita ngapi?
Dar -Arusha,nilitumia lita 42 hivi,cc 1500. Full acNimeona kwenye group moja la Telegram mdau anauliza hili swali. Tumeshindwa kujibu.
Wadau nani amewahi enda Dodoma kwa IST toka Dar? Alitumia mafuta ya tsh ngapi au lita ngapi?
Au
*Nani amewahi fanya safari ya Dar to Babati kwa IST? Alitumia mafuta ya tsh ngapi au lita ngapi?"
Ewaaaaaa hapo sawaNilijaza full tank Dar to Dodoma zikabaki bar 3. Njian full AC
1500 ccUna ist yenye engine ipi, 1AZ au 2AZ? Hizi engine mbili zinaconsume tofauti.
Pia kuna uendeshaji. Watu wenye gari zenye ulaji sawa wanaweza kutumia mafuta ujazo tofauti kwenye umbali sawa kwasababu ya uendeshaji tuu.
Hiyo 2AZ naamini ulikusudia 2NZ!!Una ist yenye engine ipi, 1AZ au 2AZ? Hizi engine mbili zinaconsume tofauti.
Pia kuna uendeshaji. Watu wenye gari zenye ulaji sawa wanaweza kutumia mafuta ujazo tofauti kwenye umbali sawa kwasababu ya uendeshaji tuu.
Nashukuru sana aisee.Hiyo 2AZ naamini ulikusudia 2NZ!!
Hizo 1AZ na 2AZ umesikia kwa kina naniUna ist yenye engine ipi, 1AZ au 2AZ? Hizi engine mbili zinaconsume tofauti.
Pia kuna uendeshaji. Watu wenye gari zenye ulaji sawa wanaweza kutumia mafuta ujazo tofauti kwenye umbali sawa kwasababu ya uendeshaji tuu.
Unamaanisha 1st generation walitoa engine Moja tu😁 na 2nd wakatoa engine moja tuNashukuru sana aisee.
Zote mbili ni za NZ. Akili ilikua mbali kigodo
1st generation 1NZ 1.5L cc1500 (1496)
2nd generation 2NZ 1.3L cc1300 (1290)
Nimeona kwenye group moja la Telegram mdau anauliza hili swali. Tumeshindwa kujibu.
Wadau nani amewahi enda Dodoma kwa IST toka Dar? Alitumia mafuta ya tsh ngapi au lita ngapi?
Au
*Nani amewahi fanya safari ya Dar to Babati kwa IST? Alitumia mafuta ya tsh ngapi au lita ngapi?"
Hata IST zenye 1AZ hamna mzeeHiyo 2AZ naamini ulikusudia 2NZ!!
Nimeona kwenye group moja la Telegram mdau anauliza hili swali. Tumeshindwa kujibu.
Wadau nani amewahi enda Dodoma kwa IST toka Dar? Alitumia mafuta ya tsh ngapi au lita ngapi?
Au
*Nani amewahi fanya safari ya Dar to Babati kwa IST? Alitumia mafuta ya tsh ngapi au lita ngapi?"
Mimi spacio ya 1500cc nilitumia lita 60 full ac. Aya matumizi yapo sawa au niwaone kina fundi maiko? Nipe uzoefu wako mkuuDar -Arusha,nilitumia lita 42 hivi,cc 1500. Full ac
Nadhani haiko sawa sana...chek plugs,ujazo sahihi wa upepo,air filters,recomended oils n.k...pia kama uwendeshaji wako sio mzuri ni tatizoMimi spacio ya 1500cc nilitumia lita 60 full ac. Aya matumizi yapo sawa au niwaone kina fundi maiko? Nipe uzoefu wako mkuu
Asante mkuu nitajitaidi kucheck hiliNadhani haiko sawa sana...chek plugs,ujazo sahihi wa upepo,air filters,recomended oils n.k...pia kama uwendeshaji wako sio mzuri ni tatizo