Nimeona kwenye group moja la Telegram mdau anauliza hili swali. Tumeshindwa kujibu.
Wadau nani amewahi enda Dodoma kwa IST toka Dar? Alitumia mafuta ya tsh ngapi au lita ngapi?
Au
*Nani amewahi fanya safari ya Dar to Babati kwa IST? Alitumia mafuta ya tsh ngapi au lita ngapi?"