Kwa wenye uzoefu wa kutumia uganga katika biashara

Mkuu,
Usiogope jipe moyo na fanya unachoona kinafaa asilimia 80% ya waTz hawaamini uchawi, pia hadithi za uganga wa kutoa kafara ndugu zimeshamiri kila kona na kupandikiza imani tofauti, sio kila mganga atakupa masharti magumu na ya ajabu hapana si kweli bali inategemea na mganga huyo,

Pia kwa kuwa unahitaji msaada basi nitakuambia kwa mawazo tu, kwanza inategemea na biashara uifanyao ni kubwa au ndogo kiasi gani... ??
Uchawi upo wa aina nyingi kuna uchawi wa mizimu, uchawi wa Freemasons, uchawi wa illuminati, kitu kigumu ni kutafuta wakala au mtu ambaye atakuunganisha,
Nafikiri nchi ya Malawi na Nigeria ndiyo waganga wake hawana masharti magumu.

si rahisi kama unavyo fikiri kaa chini tulia fikiri kwa kina halafu ufanye maamuzi sahihi.

Kila la kheri ukifanikiwa leta mrejesho.
 
Mwambie huyo brother
 
Wanaotumia uchawi mara nyingi huwa wafia dini kweli kweli pia wanajifanya hawajui kuhusu uchawi
 
Selemani alikuwa tajiri kupita DANGOTE
 
Huku kwenye kilimo bila ndumba kila Mwaka utaisoma namba hats ulime kwa umwagiliaji.Kwenye ajira ndo usiseme,ila kama hayajakukuta huwezi amini
 
Kamaa mafanikio ni kwa uganga, wahitaji au wafanya biashara wote wakienda kwa mganga nguri, itakuaje? Dawa kubwa ni mtaji, kujituma kufanya hiyo kazi, mahusiano mazuri na wateja, na mpangilio mzuri wa mapato yako.
 
Hatah! amatumie kokolo hapati kitu!!!!!!!
 
Hii inaitwa tiba ya maji ya chumvi... Sio lazima atumie maji ya bahari anaweza tumia maji yeyote alafu akaweka chumvi na kuogea...

mshana jr
 
Hapa watakukejeli kukudharau nk lakini asilimia tisini walofanikiwa wana siri zao chini ya capeti na wao wanakuwa wa kwanza kudharau hizo mila na hata iweje hapa hutapata jibu ila hayo mambo yapo na kila mtu yanamsaidia kivyake . Ingia porini kivyako na wala usimshirikishe mtu haya mambo
 

Niletee utumbo wa sisimizi changaanya na litaa mojaa yaa damu ya nzi kishaa wekaa kwenye kona nne zaa chumba chaako chimbia chini baada ya hapo tafuta kuku mweusi mchinje hakikishaa unapataa damu lita tatu zaa huyo kuku kisha utatumiaa kuoshaa uso na mikono kabla hujaendaa biasharani masharti: haakikisha upo uchi kilaa unapofanya hayo pia haakikishaa mtu aasikusaalimie ikuongeleshe ad ufike kazini kwako[emoji74][emoji74][emoji74][emoji74][emoji74] utakujaa kunishukuru[emoji1378][emoji1378][emoji1378][emoji1378][emoji1378][emoji1378]
 
Kaka ni kweli hakuna watu wanafiki Kama hii ngozi yaani wanajifanya wafia dini kumbe wana mambo yao chini ya kapeti
 
Mi nafahamu mtu mmoja ambaye hatumii ndumba na ana ela balaa
 
Duuh ngoja mwezi March nikachinje mbuzi ya maana, afu nisikilizie upepo.
 
Nakubaliana na wewe 100%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…