I think hii mada imepotea njia. Do u think mark zuckerberg ni ndumba iliifanya fb kuwa multi billion business?Karne hii ya teke linalokujia.
Wao wametajirika? Au wanatajirisha wengine tu?Nenda NANGENDE mtwara huko au nenda MALAWI au panda gari hadi KISIJU afu panda jahazi hadi MAFIA wapo tele
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaetaka utajiri ni wewe ukienda kuwachunguza wao yatakayo kukuta hutorudi humu ku type
Ha ha ha basi waache kuzuga watuUnaetaka utajiri ni wewe ukienda kuwachunguza wao yatakayo kukuta hutorudi humu ku type
Sent using Jamii Forums mobile app
dah mi ndumba sifikiriagi kabisaI think hii mada imepotea njia. Do u think mark zuckerberg ni ndumba iliifanya fb kuwa multi billion business?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mtu ameona fursa na amefanikiwa kutumia hizo fursa vizuri sana.Mi nafahamu mtu mmoja ambaye hatumii ndumba na ana ela balaa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 This is Tanzania look how we think na..... serious tambua that is ignorance wa hali ya juu yet utaniambia umesoma, itakuw vzuri kama utakuw hauna degree maan utanifanya niixhuxhe hazi degree wakati haistail, pia ni bora kama ww n mzee ila kama nikijana duuuuh tuna hali mbayakiukweli utajiri hausitawi bila ndumba, namaanisha huwezi miliki utajiri bila kuwa muumini wa kiza. matajiri wote unaowaona wanasili nzito na hutokaa kuijua juu ya Mali wanavyomiliki. sisi waoga tukubalini na hali zetu tu tukipata hela ya kula tulidhike tu lakini maisha ya utajiri huku yesu yesu..sahau hilo
My friend kumbe unawaangalia hao wanautajiri gan wakuanza kukupa mawazo hivi ukimfuatilia abrahmovich si utasema yule ndo shetani kabisa maana yeye spending yake tu unaogopa unaambiwa ana yatch yenye thaman ya dollar 1.1 billion io ni sawa na 2+ trilioni za kitanzania sas kwel wa kariakoo utasema matajiri kwa apo duuuuhnenda kariakoo kawaulize wale matajiri wenye maduka nadhani utapata majibu na akili itakukaa vizuri.
Ao watu wataweza kunifanya nikawa kama jeff bezos au nikawa na utajiri wnye thamani ya trilion 300 za kitanzania ??..Nenda NANGENDE mtwara huko au nenda MALAWI au panda gari hadi KISIJU afu panda jahazi hadi MAFIA wapo tele
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona watu wa maeneo yote uliyotaja ndio wanaongoza kwa umaskini?!Nenda NANGENDE mtwara huko au nenda MALAWI au panda gari hadi KISIJU afu panda jahazi hadi MAFIA wapo tele
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona watu wa maeneo yote uliyotaja ndio wanaongoza kwa umaskini?!
kiukweli utajiri hausitawi bila ndumba, namaanisha huwezi miliki utajiri bila kuwa muumini wa kiza. matajiri wote unaowaona wanasili nzito na hutokaa kuijua juu ya Mali wanavyomiliki. sisi waoga tukubalini na hali zetu tu tukipata hela ya kula tulidhike tu lakini maisha ya utajiri huku yesu yesu..sahau hilo
wala usitumie dawa. Dawa zipo sema hatuzijui ila nakupa moja kama unaishi karibu na ziwa au bahari bas kachote yale maji kwenye kidumu kisha chota na mchanga wake kiasi dumbukiza ndani baada ya hapo rudi nayo home unapokua unataka kwenda kwenye biashara oga vizuri badae jisuuze na hayo maji yako kama una biashara utashangaa inaenda vizuri tu