Kwa wenye uzoefu wa kutumia uganga katika biashara

Kwa wenye uzoefu wa kutumia uganga katika biashara

kiukweli utajiri hausitawi bila ndumba, namaanisha huwezi miliki utajiri bila kuwa muumini wa kiza. matajiri wote unaowaona wanasili nzito na hutokaa kuijua juu ya Mali wanavyomiliki. sisi waoga tukubalini na hali zetu tu tukipata hela ya kula tulidhike tu lakini maisha ya utajiri huku yesu yesu..sahau hilo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 This is Tanzania look how we think na..... serious tambua that is ignorance wa hali ya juu yet utaniambia umesoma, itakuw vzuri kama utakuw hauna degree maan utanifanya niixhuxhe hazi degree wakati haistail, pia ni bora kama ww n mzee ila kama nikijana duuuuh tuna hali mbaya
 
nenda kariakoo kawaulize wale matajiri wenye maduka nadhani utapata majibu na akili itakukaa vizuri.
My friend kumbe unawaangalia hao wanautajiri gan wakuanza kukupa mawazo hivi ukimfuatilia abrahmovich si utasema yule ndo shetani kabisa maana yeye spending yake tu unaogopa unaambiwa ana yatch yenye thaman ya dollar 1.1 billion io ni sawa na 2+ trilioni za kitanzania sas kwel wa kariakoo utasema matajiri kwa apo duuuuh

Kweli This is Tanzania look how we think now
 
hii nchi ina mburula wengi mpka inasikitisha. tumejenga taifa la watu magoigoi ambao hawataki kutumia bongo zao kuleta majibu ya changamoto zao wamebaki kuamin miujiza inaweza majibu yote. tumepotea na kwa style hii hatuko salama tena. ndio maana hawa watu wanaoitwa manabii hawakomi kutokea coz jamii yetu ni magoigoi wasiotaka kutatua matatizo yao zaid ya kuwapelekea manabii na waganga.
 
Waganga wanachofanya ni kuchukua nyota za watu na kuuza kwa wanaoenda kwa waganga!
Ila siku mwenye nyota yake akifunguka jua unakua maskini!

Yesu anaweza,achana na nguvu za giza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli!
WaPo wengi wanaotumia nguvu za giza lakini sio wote!
Wapo wenye Yesu kikwelikweli na ni matajiri haswa!

Issue ni namna ya kuombea uchumi na misingi yake ndo wakristo wengi hawajui!
kiukweli utajiri hausitawi bila ndumba, namaanisha huwezi miliki utajiri bila kuwa muumini wa kiza. matajiri wote unaowaona wanasili nzito na hutokaa kuijua juu ya Mali wanavyomiliki. sisi waoga tukubalini na hali zetu tu tukipata hela ya kula tulidhike tu lakini maisha ya utajiri huku yesu yesu..sahau hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini,marine spirit atazipata,hazitamuacha salama!
wala usitumie dawa. Dawa zipo sema hatuzijui ila nakupa moja kama unaishi karibu na ziwa au bahari bas kachote yale maji kwenye kidumu kisha chota na mchanga wake kiasi dumbukiza ndani baada ya hapo rudi nayo home unapokua unataka kwenda kwenye biashara oga vizuri badae jisuuze na hayo maji yako kama una biashara utashangaa inaenda vizuri tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ki ukweli utakuta most of people wanaocrash huu uzi mkononi amevaa pete za bahati sijui wenyewe wanaziita,....na ukiangalia bado ni vijana wenye nguvu,...ki ukweli hatuwezi toka kwenye hali ngumu tulizonazo kama vijana wenye nguvu kiakili na kimwili tunaanza kuwekeza kwenye miracles bila kutumia nguvu zetu na akili
"ILA PIA MSISAHAU SUBIRA ALIYEKUWA AKIVUTA HERI, SIKU HIZI ANAVUTA BANGI"
 
Back
Top Bottom