Kwa wenye uzoefu wa kutumia uganga katika biashara

Aisee usijaribu utajiri wa ndumba una masharti magumu balaa.
Fikiria una utajiri wa Bilioni mbili lakini huruhusiwi kulala kitandani au huruhusiwi kupanda gari.
Una utajiri mkubwa lakini hutakiwi kuvaa viatu vya kufunika au unataka wa kuvaa malapa.
Kuna tajiri mmoja alikua na sharti la kutovaa viatu, ikatokea akapata emergency ya kwenda Dar es Salaam haraka ikabidi apande ndege. Alipofika kwenye ndege wakamzuia coz amevaa malapa wakamwambia avae angalau sandals.
Akavaa sandals akasafiri, kufika Dar es Salaam anapewa taarifa magari yake yamepata ajali na mali zimeungua moto.
Bado alikua ametoa kafara ndugu Zake wengi lakini mwisho wa siku akapoteza mali zake na ndugu Zake pia aliowatoa kafara.
Katika maisha chagua vitu viwili pesa au amani(furaha). Kama kipaumbele chako ni pesa sio amani unaweza kutafuta utajiri kwa waganga utaupata lakini utakua na maisha yasiyo ya furaha.
Kama Amani kwako ni muhimu fanya kazi kwa jasho lako usitegemee waganga.
Usisahau kujihusisha na waganga ni kutengeneza maagano ambayo kuyavunja ni ngumu.
Baki na imani yako.
Comment safi sana hii
Hakika amani na furaha ndio kila kitu hapa duniani. Fikiria umeua ndugu na familia mwisho wa siku na utajiri umepotea.
 
kiukweli utajiri hausitawi bila ndumba, namaanisha huwezi miliki utajiri bila kuwa muumini wa kiza. matajiri wote unaowaona wanasili nzito na hutokaa kuijua juu ya Mali wanavyomiliki. sisi waoga tukubalini na hali zetu tu tukipata hela ya kula tulidhike tu lakini maisha ya utajiri huku yesu yesu..sahau hilo
Kwa imani yako ndogo uliyonayo ndo inakufanya usiamini kuwa mungu anaweza,mungu alipokuumba anajua kuhusu maisha yako na kwake kuna utajiri wa kila aina,mungu ndio awezaye kukupa utajiri wa kudumu tuu wengine ni matapeli tuu,inakuwaje mganga akupe utajiri wakati yeye ni maskin kuliko wewe?kwenye dunia hii hakuna mtu aliyekuwa tajiri kama suleman na utajiri wake alipewa na mungu.mungu wetu ni tajiri.
 
we noma kabisa swala hili hapa duh nani atajitokeza, nakushauri nenda kwenye maombi utapewa maji ya baraka utanyunyuzia kwenye bashara yako utaona mafanikio huo ndio uganga
 
hayo mnayoita Maji ya baraka, nayo uchawi tu hamna kitu ka hicho
 
Kwa imani yako ndogo uliyonayo ndo inakufanya usiamini kuwa mungu anaweza,mungu alipokuumba anajua kuhusu maisha yako na kwake kuna utajiri wa kila aina,mungu ndio awezaye kukupa utajiri wa kudumu tuu wengine ni matapeli tuu,inakuwaje mganga akupe utajiri wakati yeye ni maskin kuliko wewe?kwenye dunia hii hakuna mtu aliyekuwa tajiri kama suleman na utajiri wake alipewa na mungu.mungu wetu ni tajiri.
wewe mwenye imani ya kuamini mungu anatoa utajiri, ni utajiri kiasi gani ulionao hadi sasa kama siyo wale wale walalamikaji wa kila siku mlo wa kulenga kwa manati. tambua pesa ni sehem ya giza pesa bila kuidhibiti dunia hii uliliyojaa husuda mafanikio utayaona kwa jirani. hawa kina bakharessa kina nani... usiwaone hivi hivi eti ni kwa juhidi zao
 
Ndumba huwa ni mkombozi wa wanyonge.Jamaa mmoja alichukua mkopo akabuni biashara na ikaanza kuchanganya lakini Mara paap jamaa moja llenye mihela likafingua biashara kama hiyo kwa ubora zaidi jirani na jamaa kwa jeuri ya pesa, guess what! Like jamaa mpaka Leo RIP, na mshikaji kamaliza mkopo na anafanya biashara yake. Ukidharau ndumba basi hayaja kukuta Sena machache ukalale. OK endelea kutafuta utapata.
 
Mm nasubiri wanisaidie dawa ya chuma ulete wananisumbua sana kwenye biashara yangu ya miamsla ya mpesa
 
Habarini za leo ndugu zangu,

Sitaki kupoteza muda naenda moja kwa moja kwenye lengo,

Humu ndani kuna watu wenye shughuli mbalimbali wapo waliofanikiwa kupitia biashara,kilimo ajira n.k

Napenda kupata msaada wa mawazo kwa wale ambayo wamefanikiwa biashara zao kupitia kwa waganga wa jadi,japo tuna imani tofauti tofauti lkn hatuwezi kukataa uwepo wa jadi ambayo ni asili yetu.Waliofanikisha mambo yao kupitia waganga wa kienyeji watupe udhoefu na kwa namna gani walifanikisha mambo yao,maana sote tu watafutaji na katika utafutaji kuna njia mbalimbali za kupita ili kufikia malengo.Karibuni
ila naomba nikukumbushe jambo flani ndug yang hakuna mte aliwah kuwa atajiri kama Suleman kwa.point kama hiyo utasem je kwamba unatafta utajili kwa devel wakati Mungu Mwenyewe ana utajili mkubwa ila hawa matajili wetu asili ya utajiri wao ni hibirisi
Bas wanakuja wataalamu wa hayo mambo.

Mkuu usijaribu kulamizimisha kuvuta rizki kwa nguvu hizo ni pesa za giza mkuu utajuta na utakuwa na simanzi daima utaangamiza familia yako yote kwa pesa za giza wanaanzia na damu ya samaki,watakwambia ya kuku au panya au ya sungura,watakuja ya mbuzi na ng'ombe kulinda mali mwishowe ya familia yako eidha watoto,mkeo au wazazi wako mkuu faida yake iko wapi ikiwa watu wa kula nao pesa yako utawapoteza.

Kwa imani yako ndogo uliyonayo ndo inakufanya usiamini kuwa mungu anaweza,mungu alipokuumba anajua kuhusu maisha yako na kwake kuna utajiri wa kila aina,mungu ndio awezaye kukupa utajiri wa kudumu tuu wengine ni matapeli tuu,inakuwaje mganga akupe utajiri wakati yeye ni maskin kuliko wewe?kwenye dunia hii hakuna mtu aliyekuwa tajiri kama suleman na utajiri wake alipewa na mungu.mungu wetu ni tajiri.

Ndumba huwa ni mkombozi wa wanyonge.Jamaa mmoja alichukua mkopo akabuni biashara na ikaanza kuchanganya lakini Mara paap jamaa moja llenye mihela likafingua biashara kama hiyo kwa ubora zaidi jirani na jamaa kwa jeuri ya pesa, guess what! Like jamaa mpaka Leo RIP, na mshikaji kamaliza mkopo na anafanya biashara yake. Ukidharau ndumba basi hayaja kukuta Sena machache ukalale. OK endelea kutafuta utapata.

Mm nasubiri wanisaidie dawa ya chuma ulete wananisumbua sana kwenye biashara yangu ya miamsla ya mpesa
 
wewe mwenye imani ya kuamini mungu anatoa utajiri, ni utajiri kiasi gani ulionao hadi sasa kama siyo wale wale walalamikaji wa kila siku mlo wa kulenga kwa manati. tambua pesa ni sehem ya giza pesa bila kuidhibiti dunia hii uliliyojaa husuda mafanikio utayaona kwa jirani. hawa kina bakharessa kina nani... usiwaone hivi hivi eti ni kwa juhidi zao
Afya na pumzi niliyonayo ni utajiri tosha,nakula nachotaka nalala usingiz mzur mengine ni ziada tuu Ndugu. hivi utajisikiaje una mali nyingi alafu wewe ni mgonjwa na hela uliyonayo isiweze kukutibu?kuna watu Leo wana mali nyingi lakini haxiwasaidii chochote kwanza zimewaletea mpaka maradhi yasiyotibika,amini usiamin mganga akikupa mali laxima utazilipia tuu hajalishi ni lini,mungu wetu ni mwaminifu sana anaweza kukupa chochote umbacho.
 
kiukweli utajiri hausitawi bila ndumba, namaanisha huwezi miliki utajiri bila kuwa muumini wa kiza. matajiri wote unaowaona wanasili nzito na hutokaa kuijua juu ya Mali wanavyomiliki. sisi waoga tukubalini na hali zetu tu tukipata hela ya kula tulidhike tu lakini maisha ya utajiri huku yesu yesu..sahau hilo
Poor perception
 
Mkuu usijaribu kulamizimisha kuvuta rizki kwa nguvu hizo ni pesa za giza mkuu utajuta na utakuwa na simanzi daima utaangamiza familia yako yote kwa pesa za giza wanaanzia na damu ya samaki,watakwambia ya kuku au panya au ya sungura,watakuja ya mbuzi na ng'ombe kulinda mali mwishowe ya familia yako eidha watoto,mkeo au wazazi wako mkuu faida yake iko wapi ikiwa watu wa kula nao pesa yako utawapoteza.
Jibu zuri sana.
 
Ulijuaje hayo yote
 
Daa aise
kiukweli utajiri hausitawi bila ndumba, namaanisha huwezi miliki utajiri bila kuwa muumini wa kiza. matajiri wote unaowaona wanasili nzito na hutokaa kuijua juu ya Mali wanavyomiliki. sisi waoga tukubalini na hali zetu tu tukipata hela ya kula tulidhike tu lakini maisha ya utajiri huku yesu yesu..sahau hilo
Daa aisee umenisikitisha mpaka nimeogopa. Hii mentality iliyopo kichwan kwako labda inategemea na eneo ulikozaliwa. Ila mimi nakuhakikishia utajir upo na hela zipo nyingi sana.ila usisahau Mungu ananafas kubwa sana maishan mwako. Mi siwez kusema ni tajir ila namiliki nyumba 5 hapa dar na moja arusha na moja moshi. Nina viwanja na ninabiashara zinazorun vizur tu sema kwasasa kuendana na mabadiliko au sera za uchumi ya serikali kwa sasa mzunguko sio kiviile.
Ila katika maisha ysngu cjawah kwenda kwa mganga wala cjui ndumba Mungu ni shahid mwaminifu. Nakumbuka jamaa yangu tulieanza nae maisha tulikuwa na kauli mbiu yetu moja muhim sana.
Utafute kwanza ufalme wa mfukon mengine yote utayapata so tulikuwa hakuna cha pombe wanawake wala club ni mwendo wa kuzichanga tu. Yaan zalisha kwa wingi kwa kadir inavyowezekana halafu punguza matumiz kwa kadir inavyowezeka. Lengo tufikie kias flan cha hela ili tufanye kaz kiuhakika. Kumbuka pia kanuni muhim ilikuwa ni pesa muda na maamuz. So plz ucje ukalogwa ukafanya ushirikina ndugu yangu. Mungu hajakuumba bure kuna kitu amekuandalia we pambana. Mi kwa miaka yangu 38 tayar ninavitega uchumi vyangu na nina uhakika watoto watasoma popote wapendapo.so mpe Mungu utukufu bana
 
nenda kariakoo kawaulize wale matajiri wenye maduka nadhani utapata majibu na akili itakukaa vizuri.
 
Mimi nipo kkoo miaka 15 sasa na cwez kuwasemea watu ila mi cjawah kuona muujiza kwenye biashara zaid ya mzigo mzur na kwa bei nzur kwa wakat mengine yote ni mbwembwe tu. Ndio maana nikakwambia inawezekana hayo mawazo yako yanaakis ulikozaliwa ckupingi. Kanuni moja kuu ya biashara ni kuwa biashara inafanyika unaponunua sio unakokwenda kuuzia mzigo so ukiupata kwa bei nzur ndio unakurahisishia kuuza kirahic. Achana na mawazo mfu.halafu unavyotafuta hela ucwaangalie watu. Unatakiwa kuangalia ndoto zako tu. Ukitizama watu ndio tamaa zinakushika na ndipo mawazo ya uchawi yanakuja.
 
Back
Top Bottom