Kwa wenye wasaidizi wa kazi majumbani (house girl), mnaishi nao vipi?

Kwa wenye wasaidizi wa kazi majumbani (house girl), mnaishi nao vipi?

Nyamwi255

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2022
Posts
4,848
Reaction score
12,776
Mbona huyu wangu haoni mazuri yangu? Yani hata wiki haijatimia keshaanza kunichanganya akili.
Kumkosoa kidogo tu ikiwa ni katika namna ya kumuelekeza analia nusu saa! Anaona anaonewa!!
Niishi nae vipi huyu dada cha kununa nuna!!!?
 
Back
Top Bottom