mwita ke mwita
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 7,922
- 3,618
jaribu kumrudisha kwao kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jirani nimerudi jamani,. Naacha nimekosa mimi nimekosa sana😔😔Jirani jamani nini hiki tena??
Si nilikwambia jana usigombane??
Ona sasa ile novena tutasali vipi?
Fanya unicheck na fekero tumalize lile jambo 🥹
Ok ok okMajina yanafanana
Wewe ni nani mpaka unipangie matumizi ya bando na I’d yangu😂😂😂😂 Karibu sana, usiwe unajibizana na watu... Kuwa mpole kunalipa
Sorry! Ukweli sikukusaidia hata kusajili id yako, samahani sana 🙇Wewe ni nani mpaka unipangie matumizi ya bando na I’d yangu
Hivi nimeingia kwaajili yako, nikasema ngoja nimcheck jirani km ban imeisha j3 tuanze ile issue.!!Jirani nimerudi jamani,. Naacha nimekosa mimi nimekosa sana😔😔
Thanks love❤️🌹Hivi nimeingia kwaajili yako, nikasema ngoja nimcheck jirani km ban imeisha j3 tuanze ile issue.!!
Nimefurahi kukuona umerudi, watu wengine wapuuze jirani yangu.!!
Nimekutumia pm kila
ngoja nifungue kampuni iwe inawaletea mabint wa ndani Bora kabisaHapana sikumdanganya
Nilishtuka maana madai haya nimetakuta kwngu leo. Wife kaleta dada wa kazi hatamwezi bado ila tabia ndio hizihizi[emoji16]Mbona huyu wangu haoni mazuri yangu? Yani hata wiki haijatimia keshaanza kunichanganya akili.
Kumkosoa kidogo tu ikiwa ni katika namna ya kumuelekeza analia nusu saa! Anaona anaonewa!!
Niishi nae vipi huyu dada cha kununa nuna!!!?