Kwa wenye wasaidizi wa kazi majumbani (house girl), mnaishi nao vipi?

Nyamwi255

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2022
Posts
4,848
Reaction score
12,776
Mbona huyu wangu haoni mazuri yangu? Yani hata wiki haijatimia keshaanza kunichanganya akili.
Kumkosoa kidogo tu ikiwa ni katika namna ya kumuelekeza analia nusu saa! Anaona anaonewa!!
Niishi nae vipi huyu dada cha kununa nuna!!!?
 
Huenda anaupwiru mruhusu akashughulikiwe nje,🔨🔨 ishi naye kwaakilli ukizubaa utajakuta ameshachinja wanao wote au Katia damu zenye ukimwi kwenye chakula au miswaki Bora Kama haeleweki mruhusu aende kwao 🤸🤸🤸
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…