Kwa wenyeji wa Tanga , kijana wenu yupo hapa anatafuta Ajira au kazi .

Kwa wenyeji wa Tanga , kijana wenu yupo hapa anatafuta Ajira au kazi .

Joined
Apr 20, 2024
Posts
56
Reaction score
117
Wakuu habari .

Mimi ni kijana wa kiume
Umri miaka 24

Kwa sasa naishi Tanga (Lushoto)

Nipo hapa kuomba nafasi ya Kazi au ajira katika maeneo yafuatayo.

Elimu yangu ni shahada ya elimu kufundisha kiswahili na kiingereza.

Hivyo natafuta Kazi zifuatazo.

Kufundisha Kama Mwalimu kuanzia primary level hadi secondary level.

Naweza kuwa patron wa shule , Kwa kusimamia malezi n.k

Na pia nina ujuzi wa kutumia computer hivyo Kazi za stationery naweza kuzimudu.

Pia na Kazi nyingine ambazo ni za kufundishika.

Kuhusu Mimi

Mwaminifu
Mchapa Kazi
Na mtu wa kutoa matokeo Kwa wakati.

Wenyeji wa Tanga na mikoa mingine msisite kunipigi simu

Call: +255 679 006 384

Asanteni.🙏🏽
 
Vijana wa Tanga ,tena Lushoto ni wezi.Kuna huyu wa kutoka Chakechake mama yake muuza mahindi ameniibia,hivi sasa yuko selo kariba wiki mbili.
 
Lushoto naweza kupata heka moja kwa bei gani ? Nitafutie unaweza kulamba commission 😀
 
Back
Top Bottom