Kwa wingu lililopo angani sasa na hii mvua inayokuja Yanga mkipona nitatekeleza hili!!

Pamoja figisu figisu zenu mliomfanyia mwenyekiti wetu kupitia kwa wanachama wenu siro na makonda leo wamatopeni tutawatandika 3 kwa beseni ili mwende mkapoteane kabisaa
Ingawa ninasikitika nawe ila chamtemakuni mtakiona leo.
 
Uzuri mpira hauchezwi JF kwahiyo hapa ni maneno tu
 
Popoma hiko kibamia usikifyeke, kiache tutakiungia na viungo vya magoli ya leo. Yanga ushindi hauulizwi leo, mpira dakika 90.
#teamyangaforever#
 
Mleta Uzi saa 12 jion uje na mrejesho
 
Hivi mvua ndio ishara ya ushindi kwa simba au ni neema kwa nchi nzima au kitongoji husika? Sasa kuna uhusiano gn hapo na mpira? Huu ushirikina wa kumushisha Mungu sio mzuri
 
mkuu andaa topaz kabisa. wa kijani wanaongoza tayar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…