Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Mkuu unaweza Kunitabiria Nitakufa lini? Manake Nahisi Wewe ni Gineus Wa Kutabiri....
😀😀 😀
😀😀 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila alisema kadi nyekundu 2 kwa kila timuMkuu GENTAMYCINE kiboko.......hadi kadi nyekundu
Hata kutamka kadi nyekundu na ikawepo amejaribuIla alisema kadi nyekundu 2 kwa kila timu
msiba umehamia kwenu wa matopeniMsubili kulia nyie wa porini
Popoma hiko kibamia usikifyeke, kiache tutakiungia na viungo vya magoli ya leo. Yanga ushindi hauulizwi leo, mpira dakika 90.
#teamyangaforever#
GENTAMYCINE
Ungeweka mkeka, leo ungekula hela ya muhindi kiulaini kabisa..!
mkuu andaa topaz kabisa. wa kijani wanaongoza tayar
Ndo mana mpira wetu hauendelei kwa kuendekeza ugagula,chaajabu wakija waarabu wanajigongea tu goli wanazotaka,sasa sjui wametuzidi uchawi au vpKumbe ndumba zipo kweli
mradi tumeshinda mengine yanasameheka kwa Mungu[emoji122] [emoji122] [emoji122]Mwenyezi Mungu atusamehe Wana Kamati ya Ushindi ya Simba Sports Club kwani tulichokifanya wiki nzima hadi leo tumeibuka na Ushindi huu wa aina yake ni KUFURU kubwa mno Kwake. Tunamshukuru Mtaalam wetu yule Mama mwenye ziwa moja wa Zanzibar, Ndugu zetu wa Kiufundi watu wa Mkwajuni Zanzibar, Majirani wazuri wa Uwanja wa Taifa na Askari mmoja mwaminifu kabisa wa Uwanja wa Taifa kwa ushirikiano wenu mzuri. Tunashukuru kuwa tulichokifukia tumeshakiondoa na kukirudisha kunakostahili na wenye nacho wakakichukue na waendelee na taratibu zao zingine.
Mwisho kabisa tuwashukuru wana Yanga hasa hasa Bwana Salum Mkemi ambaye majuzi tu aliwazuga wana Yanga FC kwa kuitisha Press Conference na kutamba kuwa Yanga leo itaifunga Simba Sports Club goli 10 huku akiitukana Simba kwa Shombo zote kwani kwa kusema ukweli kama Wana Yanga FC watataka kujua ni nani kawaharibia leo kila kitu basi ni Mwanachama wao huyu ( Salum Mkemi ) ambaye wao wanadhani ni mwenzao lakini sisi Wana Simba Sports Club ndiyo Mtu ambaye tumekuwa tukimtumia 100% kuiua Yanga FC kuanzia zile Goli 5 hadi hii ya leo.
Najiandaa kwenda Kanisani Kesho kutubu kwa Maulana kwa shughuli Pevu tuliyoifanya leo na ambayo haielezeki na inatisha kuisikia pia. Poleni sana Wana Yanga FC na kwa hizi points 2 ambazo tutawaacheni nazo mkitukamata nazo katambikeni mizimu yenu ila kwa sasa nijuavyo ni kwamba Simba Sports Club tayari ni Bingwa kwa 85% kwani endapo tutashinda Mechi zetu 5 tu mfululizo kuanzia hiyo ya tarehe 4, March 2017 dhidi ya Mbeya City uwanja wa Taifa basi Ubingwa unakwenda rasmi Msimbazi kwao Simba Sports Club.
mradi tumeshinda mengine yanasameheka kwa Mungu[emoji122] [emoji122] [emoji122]
Utakufa Liverpool wakishinda EPL,you are immortalMkuu unaweza Kunitabiria Nitakufa lini? Manake Nauhisi Wewe ni Gineus Wa Kutabiri....
😀😀 😀
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hiyo ndo technology yetu so big up siku nyingine mniite na mimi nishiriki kafara hilo
Yangu ilikuwa hatari zaidi,mpaka mfungajiGENTAMYCINE
Ungeweka mkeka, leo ungekula hela ya muhindi kiulaini kabisa..!
Mkuu naomba tubet,Simba atapiga 2 kwa 1,na Mavugo atatupia 1