Kwa wingu lililopo angani sasa na hii mvua inayokuja Yanga mkipona nitatekeleza hili!!

Bado una msimamo wako?
 
Pamoja figisu figisu zenu mliomfanyia mwenyekiti wetu kupitia kwa wanachama wenu siro na makonda leo wamatopeni tutawatandika 3 kwa beseni ili mwende mkapoteane kabisaa
Tayari 1, bado zingine 2 kipindi cha 2
 
Vyomba vya usalama vinatakiwa kukutafuta utoe maelezo zaidi kuhusiana na goli mbili na kadi nyekundu
 
Daaah mkuuuu kwa hili naomba ni sitie neno..bado na soma comment
 
Niliona hii post ya kimizaha nikawa naipita tu kumbe jamaa kachekesha mbaya kabsa na uzur kapatia mulemule duuuh umeua kabsa jombaaaa
 
Kwa utabiri huu naona tuanzishe kanisa watakuja sio yule aliyedai kuzuia mvua isinyeshe Dar hadi barabara inayoenda kanisani kwake ikamilike wakati jana mvua imenyesha
 
Nimecheka sana..ila ndio mchezo ulivyo.
 
Yan Yanga Leo hasa kipindi cha pili, ilionekana kabisa wameishiwa mbinu....kweli mikia walienda Zanzibar...hivi Yanga kamati ya ufundi haipo.?? Simba safari hii wanafurukuta hawana utani....tukizubaa ndo basi...akishinda mechi 5 tu mfululizo atakuwa bingwa...hapa Yanga ashinde zote , simba apoteze moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…