Kwa wote wenye malalamiko kuhusu jukwaa letu la Mahusiano.

Kwa wote wenye malalamiko kuhusu jukwaa letu la Mahusiano.

ha haaaaaaaaaaa, umeamua kujiadhari kabla ya kudhalilika? hapo kuna hatari ya 2 bila............
Huyu bibie anaeshinda kwenye pono simuwezi anaweza taka staili ya toroli nikashindwa lol!
 
Baada ya kuwasikia Not Enough,Kokudo na Gbollin kama mdau wa jukwaa hili napendekeza wote wenye malalamiko kuhusu jukwaa letu au wadau wa jukwaa hili wawe wamewakilisha madai yao kabla ya mwisho wa wiki hii ili wiki ijayo tuanze na mambo mapya na wenye madukuduku moyoni wawe wametatuliwa malalamiko yao.

Kwenye thread hii inaruhusiwa ku-chat,salimiana, na kutongozana.

Shikamoo Kaka. Ninapotaka mimi ni hapo tu X 2
 
hahahaaaaaaa uwiiiiiiiiiiiiii mbavu zangu mieeeeeeee
 
hahahaaaaaaa uwiiiiiiiiiiiiii mbavu zangu mieeeeeeee
Kwenye signature yako hutaki maua kuletewa kaburini unataka upewe sasa haya pokea :A S-rose::A S-rose::A S-rose:
 
Hi Lizzy!samahani lakini.Hivi unaweza shawishiwa na mtu kwa mistari?binafsi mistari has very litlle to do withswitching me on.

Sasa hata kama ana sura nzuri bila mistari ntajuaje ananikubali??
 
kutongozana mh!.... Usije opoa kisicho riziki...
 
Mi sijawahi kuanzisha ila mchangiaji mzuri sana nikianzisha thread yangu msipochangia nitawachapa wote
 
Back
Top Bottom