- Thread starter
- #81
Kumbe ni wivu,hujaelewa tu sijawahi kuwa na MR niliwahi kuwa na Cheusi.MR alipoona kwenye maelezo ya thread kuna kutongozana akasema nimtongoze nikamtolea nje,rudi nyuma page 1 utaelewa.Hahahaha kwanini nimekuchezea?!Mwenyewe si ulinichezea mpaka MR akarudi!Alivyokutosa ukarudi tena...alafu nikakuamini!!