Kwa yaliotokea Jana usiku wa mabingwa haraka Mwakinyo aandaliwe pambano

Kwann azam hawakuanza kuonyesha Enzi za kina cheka na kupromot ndio azam Wana mchango mkubwa Lakin azam walimuitaji mtu kama mwakinyo kwanza ndiomana walisubir pia wanasubir hata kwenye michezo mingine watokee watao weza kua na ushawish ndio azam wawekeze
 

Kwa hiyo ulitaka Azam ianze kuonesha hata kipindi ambapo haikuwepo?
 
Kati ya Azam kuonesha mapambano ya ubondia na pambano la Mwakinyo kuoneshwa na Azam TV ,kipi kilitangulia?
 
Ngumi umeanza kufuatilia lini we jamaa ni kweli jana mfaume mfaume ngumi zao zilipoa na aliefanya zipoe ni yule mpinzani wake ukicheki muda mwingi alikua kaweka guard nashangaa watu wanaosema mfaume kapigwa lkn c kweli mfaume alichokua anakifanya ni ku score tu.Na suala la wachambuzi kumshabikia mfaume ni kawaida ulitaka wamshabikie mgeni
 
Nini maana ya wachambuz???? Ngumi nimeanza kuzifatilia kwa ukaribu toka mwakinyo alivyo tuvutia wengi kwa stail yake ya upiganaji
 
Nini maana ya wachambuz???? Ngumi nimeanza kuzifatilia kwa ukaribu toka mwakinyo alivyo tuvutia wengi kwa stail yake ya upiganaji
Ndyo maana
Mbona pambano la mwakinyo na yule muargentina wale wachambuzi walimsifia mwakinyo tena huyo mfaume mfaume alikuwepo tatizo cc wabongo tunapenda kutengeneza mabeef ya hawa mastar yanatoka maneno upande huu yanapelekwa upande mwingine tuwaache mabondia kipindi hiki ndyo kipindi chao cha kuvuna ngumi zilidharauliwa sana bongo azam wamesaidia mnaanza tena kuwananga
 
Mwakinyo apewe pambano na Kiduku kwanza yy c bingwa wa Tz nn tatizo?
 
Mwakinyo hajawai kusifiwa akiwa anafanya ujinga kama ule wa Jana unamsifia mtu ambae anapigika
 
Azam wamesaidia nn wakat azam walikua zao bize kurusha ngum za nje na kfc uku kina matumla na cheka tukiishia kuwaona eatv na tbc wakipambana kwa viingilio Vya buku mbil mbil jero na mapromoter kusepa na hela Leo mwakinyo katoka atokako azam wakamuona Dil na pambano la kwanza mwamba akajaza kama msanii wa Muzik vile Tena mond au Kiba toka apo wa kaanza kuzaliwa mabondia sambusa wengine walikua wamestafu wamerud maziezin

Kipind mwakinyo ajaanza kupigana hapakuwahi kutokea bondia alie Pata watu hata Mia 2 kwenye pambano moja ila toka mwakinyo kaanza ni yeye pekee ndie alie Pata maelf ya watizamaj plas wazamin na yeye ndio Kafanya watanzania wengi tunafatilia ngum [emoji849][emoji849][emoji1787]
 
We sijui ni mgeni wa ngumi? huyo Mwakinyo mwenyewe anasema kuna pambano hajapigwa ila alinyang'anywa kwa kuwa alishinda kwa point ugenini.

Ukitoa pambano la mfaume mapambano yote hayana shaka ukiacha pambano la kwanza ambalo kuna controversial mpaka sasa kama ni Technical draw au knockout.

Hao wachambuzi walikua neutral tu walimsifia sana yule Mzimbabwe na wakawa wanashauri Mfaume asjiachie sana...kwenye matokeo waligoma kutabiri,kwani lazima unganisha facts ujipe matokeo mwenyewe.
 
Kuna shida mbil moja ni mfaume pili ni Bondia za mitaan kuzinad ni bondia za mabingwa fikiria mkenya kakaa kwao asikie Yale Makelele ya maandalizi na yeye ajiandae kuwaona mabingwa alafu anakuja kuona huu uozo
 
Ndio maana Mwakinyo huwa anasema mnapigana na walevi sasa kama yule bondia aliepigana na Toni ni bondia kweli anacheza kiduku tu kwenye ring... Pambano ya mfaume mfaume imeonekana wazi kabisa kapigwa jebu zenye point yeye ngumi zake zote zimeishia kwenye gurd ya jamaa lakini eti kaibuka bingwa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] UTOPOLO HADI KWENYE NDONDI
IFIKE HATUA MWAKINYO APEWE HESHIMA YAKE JAMANI....
 
Angalia mahojiano ya mabondia toka azam tv walivyoanza kurusha utasikia tu kila bondia aseme tunaishukuru azam tv ww cyo mfuatiliaji wa ngumi ingia youtube tafuta mapambano ambayo azam tv walikua hawajaanza kurusha live utaona mabondia walivyokua wakidharaulika.Ushasikia story ya dula mbabe alicheza pambano kwa sh 80000 cjui ile na angalia sasa wanavyolipwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…