Kwa yaliotokea Jana usiku wa mabingwa haraka Mwakinyo aandaliwe pambano

Watu walimnanga Mayweather kwenye pambano la Pacquiao sembuse Mwakinyo?

Kama unataka kuwa the best kusemwa ni moja wapo ya challenges,Mwakinyo hakua amekomaa ndo maana ali react kwa maneno.
Kilichimkuta Mfaume jana kama kingetokea kwa Mwakinyo bado story zingekuwepo as tunajua yeye ndo the best kwenye masumbwi kwa sasa hapa bongo,suala la kusema kwasababu katokea Tanga na wanaobebwa ni watu wa Moro na Dar siyo kweli.Hata Sammata anasemwa kwenye football, naye anatokea Tanga?
 
Hawasemw wanao tokea tanga ila wanasemwa wenye mafanikio na uwezo
 
Hawasemw wanao tokea tanga ila wanasemwa wenye mafanikio na uwezo
Ipo hivyo dunia nzima....ukiona husemwi sana ujue huna kitu cha ziada...Twaha Kiduku anamtaka Mwakinyo sababu anaona ni stepping stone kwenye mafanikio yake....Dulla alivyompiga KO Francis Cheka alipanda sana...vivyo hivyo kwa Twaha alivyompiga Dullah.
Watu lazima wamchallenge Mwakinyo kwa sababu yupo juu kwa sasa na ni wajibu wake kuwa prove wrong ulingoni.
 
Ndiomana nakwambia mabingwa na machampion pekee ndio Hua wanashinda ugenn kama kina mwakinyo sheria ya kwamba ugenini ni lazima upigwe ipo kwa kina dulla
Dullah hajawahi kushinda ugenini? like seriously?
 
Wanao shabikia mchezo wa ngumi za hapa kwetu me nawapa hongera.
Ndio, ni uzalendo kukipenda cha nyumbani, lakini sio mchezo wa ngumi.

Ngumi za bongo zimeshikwa na wajanja wa town, yani kabla ya pambano tayari bingwa keshajulikana.

Wakikuambia anakuja mpiganaji kutoka nje ya nchi basi ujue yashaandaliwa mazingira ya yeye kushindwa.

Usishangae ukaletewa mtalii tu ambaye wenda hata sheria ya mchezo wenyewe haujui.

Simnakumbuka pambano la Twaha kiduku na yule Mtailendi?

Bongo hatuko tayari kwenye mchezo wangumi, ninacho jua kuna wajanja kadhaa wanao nufaika kupitia ngumi.
Ulichosema ni kweli lakini hata huyo mwakinyo kuna mapambano kabebwa hakuna kitu kiufupi Mchezo wa ngumi bongo umeshikiliwa na wababaishaji wasiokua na shule.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu umeandika kwa hisia Sana Bongo nyoso


Mfaume alipigwa jana
 
Bingwa Kiduku chuma kile. Mwakinyo hamuwezi Twaha. Labda aruhusiwe waingie Mwakinyo na kabondia ka nyongeza ndio wapambane na Twaha
 
Mbongo akishinda kwa point basi kapigwa yeye, akimpiga mtu KO basi huyo bondia aliepigwa hamna anachojua

Kwa yaliotokea Jana kwa mfaume ni kawaida sana.. Hivi ushawahi kujiuliza kwanini TMT hapigani nje ya US, ulishawahi kuangalia pambano hata moja la TMT vs Pacman?, je Ni nan alishinda kihalali?

Kingine kwanini wabongo wengi hatupendi kusifia watu wakifanya vizuri, au mpaka mbongo apigwe ndo pambano liwe fair?

Pambano la Seleman kidunda lilikuwa la mkanda, pambano la tony Rashid lilikuwa la mkanda wa UBA hao wote wameshinda kwa kwa TKO, je hao waliopigwa walikuwa hawataki kushinda hiyo mikanda

Mwisho, mabondia wengi sana kama watakuwa wanakuja kipoapoa bongo watakuwa wanapigwa, huu mchezo kwa sasa unafatiliwa sana na hiyo ni chachu, hamna bondia wa bongo anataka apigwe, watapigika sana kwa KO
 
Mwakinyo Kawa maarufu bila azam kaja bingo tayar ni hero na kila mmoja alikua anajioendekeza kwake kuanzia serikal mpaka taasis binafs
Hivi huoni aibu dogo kuongelea mambo ya ndani ya mwanaume mwenzio?

Aibu nimeona mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…