Kwa yaliotokea Jana usiku wa mabingwa haraka Mwakinyo aandaliwe pambano

sasa mfaue mfaue kapigwaje wakati mpinzani wake alikua anajilinda tuu harushi ngumi za maana

na unaposema aliestahili kuitwa bingwa ni dulla mbabe una maana gani wakati TONY RASHID,SELE KIDUNDA WOTE WAMESHINDA KWA KNOCKOUT
 
Hueleweki point yako ni ipi
Mustafa Mustafa alipigwa hata kwa mimi nisiejua Boxing nilipoteza usingizi
Nyembera na wenzake walimalizia kwa kusema Bondia huwezi lipia tiketi ya ndege, kwenda na kurudi, Hotel na chakula halafu uje uchukue mkanda mikononi mwetu.
tunaelekea pabaya
 
M nadhani umewakosea adab sana azam maana bila wao usingeona hata kwa unaouita ujinga usingeuona ungekua ndani umelala kwa hilo waombe sana msamaha.

Suala la refa umeongea utumbo labda ulimaanisha ma judge na kama ni ma judge. Wewe labda ni shabiki wa mpira au rede kwenye ngumi umevamia tu kama ni shabiki wa ngumi nitajie pambano uliloliangalia likaisha round zote na mgeni akapewa ushindi duniani kote yasizidi matatu. Yani kama unaenda ugenini jua kabisa ushindi wako ni KO tu hata kama pambano limeandaliwa na Shirikisho la Ngumi Duniani.

Suala la Mwakinyo sijui kuminywa sijui kushushwa huo ni upuuzi sabab hata mwakinyo mwenyew ukimuuliza anahitaji challenge kama yy ni champion ni kashatoboa so wacha tuwapaishe na wengine wawe kwenye level ya kupigana nae hata marekani kuna mabondia wakubwa wengi iwej sisi tuwe na mmoja tu m naamini hata yy mwenyew anataka hili so wachambuzi m sioni kosa lao hapo. Unafkiri usipompaisha twaha kiduku kwa kumsifia au kumpa pambano na dulla na akashinda utaamini vp ana deserve kupigana na mwakinyo?
Unafkiri promota atarudisha vp pesa bila kuwafanya wote mabondia wakubwa then siku wanakutana hata kama ni taifa akajaza uwanja akarudisha pesa akapata moyo wakudhamini mapambano mengine. Ujinga unaoongea unarudisha nyuma mioyo ya watu walokufanya ukaangalia mapambano mengi ukiwa sebuleni na mkeo. Mwaka jana mda kama wa jana unaangalia pambano ulikua umelala tu.

Usiwe kama mbwa kila kitu unabweka tu bwana nanjulu mabwimbwi mwanzisha uzi
 
Angalia mahojiano ya mabondia toka azam tv walivyoanza kurusha utasikia tu kila bondia aseme tunaishukuru azam tv ww cyo mfuatiliaji wa ngumi ingia youtube tafuta mapambano ambayo azam tv walikua hawajaanza kurusha live utaona mabondia walivyokua wakidharaulika.Ushasikia story ya dula mbabe alicheza pambano kwa sh 80000 cjui ile na angalia sasa wanavyolipwa
Wangeanza kuishukuru azam kabla ya mwakinyo apo Sawa Kwan azam Hao mabondia ilikua haiwaon???
 
Ndio maana Mwakinyo huwa anasema mnapigana na walevi sasa kama yule bondia aliepigana na Toni ni bondia kweli anacheza kiduku tu kwenye ring... Pambano ya mfaume mfaume imeonekana wazi kabisa kapigwa jebu zenye point yeye ngumi zake zote zimeishia kwenye gurd ya jamaa lakini eti kaibuka bingwa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] UTOPOLO HADI KWENYE NDONDI
IFIKE HATUA MWAKINYO APEWE HESHIMA YAKE JAMANI....
Mwakinyo kupewa heshima siyo lazima kuwatoa wengine maana.
Mwakinyo kapigana na Tinampei hapa,mambo yalikua magumu kwake akashinda kiajabu.....lakini huyo Tinampei kaja juzi hapa watu wamempiga fresh tu...lakini haijawa sababu ya kumdharau Mwakinyo.
 
M nadhani umewakosea adab sana azam maana bila wao usingeona hata kwa unaouita ujinga usingeuona ungekua ndani umelala kwa hilo waombe sana msamaha.

Suala la refa umeongea utumbo labda ulimaanisha ma judge na kama ni ma judge. Wewe labda ni shabiki wa mpira au rede kwenye ngumi umevamia tu kama ni shabiki wa ngumi nitajie pambano uliloliangalia likaisha round zote na mgeni akapewa ushindi duniani kote yasizidi matatu. Yani kama unaenda ugenini jua kabisa ushindi wako ni KO tu hata kama pambano limeandaliwa na Shirikisho la Ngumi Duniani.

Suala la Mwakinyo sijui kuminywa sijui kushushwa huo ni upuuzi sabab hata mwakinyo mwenyew ukimuuliza anahitaji challenge kama yy ni champion ni kashatoboa so wacha tuwapaishe na wengine wawe kwenye level ya kupigana nae hata marekani kuna mabondia wakubwa wengi iwej sisi tuwe na mmoja tu m naamini hata yy mwenyew anataka hili so wachambuzi m sioni kosa lao hapo. Unafkiri usipompaisha twaha kiduku kwa kumsifia au kumpa pambano na dulla na akashinda utaamini vp ana deserve kupigana na mwakinyo?
Unafkiri promota atarudisha vp pesa bila kuwafanya wote mabondia wakubwa then siku wanakutana hata kama ni taifa akajaza uwanja akarudisha pesa akapata moyo wakudhamini mapambano mengine. Ujinga unaoongea unarudisha nyuma mioyo ya watu walokufanya ukaangalia mapambano mengi ukiwa sebuleni na mkeo. Mwaka jana mda kama wa jana unaangalia pambano ulikua umelala tu.

Usiwe kama mbwa kila kitu unabweka tu bwana nanjulu mabwimbwi mwanzisha uzi
Unataka uwapaishe watu wasio paishika??? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kama mnawatengeneza wawe mabondia wa tanzania tu Sawa pili kuhusu kushinda ugenini nafikir champion mwakinyo ni mwanaume pekee anae weza kufanya ivyo na atae weza kuendelea kufanya ivyo kiduku kila akitoa kichwa tz wanamla mkia anabaki kuvizia kina dulla na wala Unga wa dar mpaka Moro
 
Tuongelee kuhusu mfaume mfaume pambano lake la jana
 
Wangeanza kuishukuru azam kabla ya mwakinyo apo Sawa Kwan azam Hao mabondia ilikua haiwaon???
Hivi isingekua azam tv kupiga promo huyo mwakinyo ana kitu yeye kama yeye kujulikana ngumi hazijaanza leo kulikuwa na media kibao kabla ya azam tv kuja lkn walikua wanafanya wanachofanya sasa kama kinachofanywa na azam tv sasa
 
Umeongea ukweli sema jamaa anataka tu kubishana
 
Kuna shida mbil moja ni mfaume pili ni Bondia za mitaan kuzinad ni bondia za mabingwa fikiria mkenya kakaa kwao asikie Yale Makelele ya maandalizi na yeye ajiandae kuwaona mabingwa alafu anakuja kuona huu uozo
Wewe ni mpumbavu. Certified idiot kabisa.
 
Unataka uwapaishe watu wasio paishika??? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kama mnawatengeneza wawe mabondia wa tanzania tu Sawa pili kuhusu kushinda ugenini nafikir champion mwakinyo ni mwanaume pekee anae weza kufanya ivyo na atae weza kuendelea kufanya ivyo kiduku kila akitoa kichwa tz wanamla mkia anabaki kuvizia kina dulla na wala Unga wa dar mpaka Moro

Sasa kama unamwona Kiduku siyo, jipendekeze kuomba pambano naye uone jinsi atakavyokufanyia show.

Ruka ruka tu, ila iko siku utaingia kwenye nyavu.

Halafu huko kulia lia eti unatafuta heshima, heshima haiombwi, unaipata kwa kazi uliyowaonesha washabiki.

Mpaka sasa bado hujafanya kitu cha kusababisha wote wakupe heshima, mapambano yako yote ni ya kiwango kibovu.
 
Nani alitakiwa ashinde kwa uhalali?
NOTE MIMI SIPO UPANDE WOWOTE SIJUI MWAKINYO AU DULA MBABE AU TWAHA
 
Unataka uwapaishe watu wasio paishika??? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kama mnawatengeneza wawe mabondia wa tanzania tu Sawa pili kuhusu kushinda ugenini nafikir champion mwakinyo ni mwanaume pekee anae weza kufanya ivyo na atae weza kuendelea kufanya ivyo kiduku kila akitoa kichwa tz wanamla mkia anabaki kuvizia kina dulla na wala Unga wa dar mpaka Moro
Mwanaume unaweka emoj za kujichekesha una matatizo
 
Mwakinyo kupewa heshima siyo lazima kuwatoa wengine maana.
Mwakinyo kapigana na Tinampei hapa,mambo yalikua magumu kwake akashinda kiajabu.....lakini huyo Tinampei kaja juzi hapa watu wamempiga fresh tu...lakini haijawa sababu ya kumdharau Mwakinyo.
Hatukatai mwakinyo alibebwa lile pambano but turud kwa wachambuz mabondia wakongwe wabongo walivyo kua Wana mnanga kwenye ulingo toka mwanzo wa pambano mpaka mwisho alafu turud kwenye mbeleko za Hawa mabondia wenu wa dar mpaka Moro Yan ngum wanapigwa na sifa wanapewa kibao ila mwakinyo alipondwa mpaka aka panick
 
Hivi isingekua azam tv kupiga promo huyo mwakinyo ana kitu yeye kama yeye kujulikana ngumi hazijaanza leo kulikuwa na media kibao kabla ya azam tv kuja lkn walikua wanafanya wanachofanya sasa kama kinachofanywa na azam tv sasa
Mwakinyo Kawa maarufu bila azam kaja bingo tayar ni hero na kila mmoja alikua anajioendekeza kwake kuanzia serikal mpaka taasis binafs
 
Sasa kama unamwona Kiduku siyo, jipendekeze kuomba pambano naye uone jinsi atakavyokufanyia show.

Ruka ruka tu, ila iko siku utaingia kwenye nyavu.

Halafu huko kulia lia eti unatafuta heshima, heshima haiombwi, unaipata kwa kazi uliyowaonesha washabiki.

Mpaka sasa bado hujafanya kitu cha kusababisha wote wakupe heshima, mapambano yako yote ni ya kiwango kibovu.
Watu wa Moro kwenye ubora wenu eti mapambano mabovu
 
Back
Top Bottom