Kwa yaliyofanyika Oktoba 29 ni vyema viongozi wanawake duniani wangejitenga na Samia

Kwa yaliyofanyika Oktoba 29 ni vyema viongozi wanawake duniani wangejitenga na Samia

tucker carlson

Senior Member
Joined
Oct 5, 2025
Posts
182
Reaction score
759
Wakuu,

Nimesikia Bi Msumi katengwa na viongozi wenzake huko AU

Sasa mi naona hilo suala lingeendelezwa zaidi. Heads of state wote duniani ambao ni wanawake wanatakiwa kumtenga Samia

Wanawake ni mama zetu, dada na mashangazi zetu. Hakuna mtu ambaye ana uchungu na maisha ya watu kama mwanamke

Nadhani ifike muda viongozi wote wanawake duniani, mashirika ya wanawake duniani wamtengene huyu mama mpaka pale haki itakapopatikana
 
Back
Top Bottom