Shamba la bwana heri, mbuzi wa bwana heri na nyasi za bwana heriKatiba ya CCM imekataza Azimio kama hilo kwenye zoezi la kutafuta mgombea wa urais.
Wamelazimisha tu kwa sababu hatuna utamaduni wa kuheshimu katiba.
Jana mwamba kapigwa kanzu na kaipokea Kwa shidaNilifuatilia mkutano mkuu wa CCM, nikaona mzee mzima analazimishia azimio, nikajua hapa tayari
Wale waliokua wanakusudia kuchukua form na kupambana na mama itabidi warudishe mikia yao tumboni
Siasa, ni mchezo kama draft, CCM ikishafanya maamuzi ya kikatili wanakuaga na wimbo wao wakusindikizia maumivu kwa wale waliojeruhiwa.
Tuendelee kumuenzi huyu Mzee Kikwete, vinginevyo CCM ingepasuka na nani ajuae mpasuko huo ungekuwa na madhara gani hasi au chanya
Twende na mama wa Kizimkazi apewe mi-5 mingine
Mimi hapa nipo standby kutake over!!Alikufa Nyerere tukasema hivyo. Atajitokeza mwingine.
Binaadamu wakati tunapanga na Mungu nae anapanga pia!!Mama hajaingizwa mkenge ila anajua namna ya kucheza nao.....watu walikua wanacheki upepo tu,,,,,kumbukeni kuna ile nafasi ya katelephone bado.........kwenye ubunge ndo zinakuja sarakasi za kutosha
Hata hapo katika shamba hilo, ukisema majani ni ya bluu wakati ni ya kijani itabidi tuseme huu ni uongo.Shamba la bwana heri, mbuzi wa bwana heri na nyasi za bwana heri
Bongo amna system bali kuna kikundi chenye access tuHawezi kujua kuliko system iliyomweka na kama system imekubaliana na hicho kituko ni dhahiri inajua pa kuchomokea!!
System imara haiwezi kubali mgombea ajulikane miezi kumi kabla ya uchaguzi itakua system yaenye matobo tobo Tena na makam ajulikane mapema hivyo huoni unasababisha tension isiyo na maana!!?
Naamini Maandishi ya TumainiEl na Tumia akili!
KAMA ZILE NI SIASA,BASI AMANI ISINGEKUWEPO.Nilifuatilia mkutano mkuu wa CCM, nikaona mzee mzima analazimishia azimio, nikajua hapa tayari
Wale waliokua wanakusudia kuchukua form na kupambana na mama itabidi warudishe mikia yao tumboni
Siasa, ni mchezo kama draft, CCM ikishafanya maamuzi ya kikatili wanakuaga na wimbo wao wakusindikizia maumivu kwa wale waliojeruhiwa.
Tuendelee kumuenzi huyu Mzee Kikwete, vinginevyo CCM ingepasuka na nani ajuae mpasuko huo ungekuwa na madhara gani hasi au chanya
Twende na mama wa Kizimkazi apewe mi-5 mingine
Asikudanganye mtu mkuu!Bongo amna system bali kuna kikundi chenye access tu
System ilio kamilika haiwezi ruhusu nchi kuendeshwa na kikundi kihuniAsikudanganye mtu mkuu!
Na hiyo system imekufanya uyaone na kuidharau hivyo hivyo !Sasa ingia kwenye 18 zao uone!
Nchimbi ndie utakuja kuniambia nchimbi ndio mgombea wa CCM!Kwani kwa sasa kuna timu 1 tu? Watu wanapiga honi hapo kwa katelephone......Nchimbi hata mambo yakitick nafasi ya umakamu haina nguvu kubwa kama hapo kwa waziri mkuu, kwahio hadi hapo jamaa ameshatulizwa kwenye nafasi ambayo haina makeke mengi,,kwahio hata wale watakao amua kua upande wake ni kwamba wanajua mapema kabisa mwisho wa siku jamaa ni makamu wa rais tu....nafasi ya kushika mikasi na kuzindua miradi.....ila upande ule walishaanza kupiga honi mapema kwa katelephone na wakijipanga vizuri ile nafasi wanaibeba
Wanaruhusu madhara yaonekane kwanza kabla ya kuchukua hatua!System ilio kamilika haiwezi ruhusu nchi kuendeshwa na kikundi kihuni
Nilifuatilia mkutano mkuu wa CCM, nikaona mzee mzima analazimishia azimio, nikajua hapa tayari
Wale waliokua wanakusudia kuchukua form na kupambana na mama itabidi warudishe mikia yao tumboni
Siasa, ni mchezo kama draft, CCM ikishafanya maamuzi ya kikatili wanakuaga na wimbo wao wakusindikizia maumivu kwa wale waliojeruhiwa.
Tuendelee kumuenzi huyu Mzee Kikwete, vinginevyo CCM ingepasuka na nani ajuae mpasuko huo ungekuwa na madhara gani hasi au chanya
Twende na mama wa Kizimkazi apewe mi-5 mingine
Mgombea umeshakua makamu....kazi yake kushika mkasi tu kuzindua miradi na hapo nafasi yake kwenye chama ataachia.....hapo inategemea watakao kua viongozi kwenye chama pamoja na ile nafasi aliyopo katelephone........Nchimbi kua makamu ameshapigwa pini kiutu uzima labda angekua mzenji angeenda kua rais hukoNchimbi ndie utakuja kuniambia nchimbi ndio mgombea wa CCM!
Na kamati ya ufundi wanapangaBinaadamu wakati tunapanga na Mungu nae anapanga pia!!
Huku sio magharibibiden aliachia bila nusu mlingoti!
Asikudanganye mtu mkuu!
Na hiyo system imekufanya uyaone na kuidharau hivyo hivyo !Sasa ingia kwenye 18 zao uone!
Katiba wameandika wenyewe, na wavunja wenyewe, yakuwashia nini wewe ??Wamevunja katiba ya CCM.
Nyerere alikwishaondoka na bado kipo.Kikwete akifa kile chama watagawana mbao
Kwasababu kuna Generation ya kina Kikwete ili lelewa vizuri na Mwalimu sio hawa wakina JanuaryNyerere alikwishaondoka na bado kipo.
Ccm nzima umemuona huyo tu??Kwasababu kuna Generation ya kina Kikwete ili lelewa vizuri na Mwalimu sio hawa wakina January