Boniphace Bembele Ng'wita
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 3,475
- 1,860
Aseee w mwongo kama wanasiasa!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani unajifunza uongo kwa stori kubwa sana. Kama mlikuwa na baunsa wa kumfuatilia, kwenye hisa mlifuata nini? Halafu mlipomkuta uchi, walikuwa kichakani ama nyumba haina hata mlango?
Tupe hadithi zenye akili bwana. Kwanza huyo rafiki yako ana gari model gani? Ina cc ngapi? Consumption yake ikoje? Maximum speed? Tuanzie hapo
Sasa mtoto alibaki na nani? Au na nyie mlimtelekeza chumbani akabaki peke yake analia...mnastahili kuhukumiwa kwa kumtelekeza mtoto
Na usipo oa jipange kuolewa.
Sioi Leo, Sioi Kesho, Keahokutwa wala Mtondogoo,
Sioi Mchana, Sioi Usiku wala Majogoo.
~FA