masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Hizi story kama za kina KIBENA tu kipindi cha watoto....
shem atakuwa amebeba uhusika wa mama ndege
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi story kama za kina KIBENA tu kipindi cha watoto....
Mke wake alianza kubadilika tabia akanifuata na kuniomba ushauri,nikamuuliza kulikoni? akasema ni mara ya pili sasa mkewe anambwagia mtoto na kwenda misele isiyo na kichwa wala miguu,akimwambia aondoke na mtoto mwanamke anakuwa kiburi,anakaidi na kuondoka akimwacha mtoto analia,tena ndo first born huyo mtoto,jamaa akaamua kufuatilia ili ajue kulikoni,amefanya u spy kwa miezi 6.
Jana tena mwanamke akaondoka kama kawaida yake na kumuacha mtoto akilia,jamaa akanipigia cm kuwa niende haraka kumpa kampani ya kumfuatilia wife wake,ilikuwa saa 3 usiku,kwa kawaida mke wa jamaa huaga kuwa anakwenda kwenye hisa(michezo wachezayo wanawake wengi mjini) tulipofika kwenye ile nyumba ambayo ndo mara nyingi hupenda kwenda ktk hisa,tukakuta hayupo,jasusi wa jamaa aliyemuweka kwa kazi ya kum spy.
Mkewe,akatuelekeza aliko shem,jamaa akashindwa ku drive,ikabidi nishike sterling,looh kufika tukavamia nyumba ya mgoni na kumkuta shem yupo uchi kama alivyozaliwa,jamaa kazirai,nimekesha hosp,shem kakimbia sijui aliko,SITAKI KUOA.
Katika kosa ambalo siwezi kumsamehe mwanamke ni kujua kwamba anagongwa na mtu wakati akiwa na mimi. Hilo kwangu ni kosa lisilosameheka na wala sitatafuta mshauri ili nimpige chini.[/QU]
Na Kama wewe ndo unagonga nje akijua vice versa is true au Vipi,
Unatakiwa ukamatwe na environmental lawyers kwa kuchafua mazingira. Gari ya mwaka 1997 imeisha muda wake wa kutumia. Hebu uende yard leo ukaangalie ustaarabu bwana ila uongeze na hizo CC kiduchu eeh
Mzima lakini wewe?
nipo powa,
Nimeuza gari ya cc1300 ili niweze kushuka kwenye cc1000,mbona wanaume kibao tuna hizo ladies car siku hizi unafikiri tunapenda?
Katika kosa ambalo siwezi kumsamehe mwanamke ni kujua kwamba anagongwa na mtu wakati akiwa na mimi. Hilo kwangu ni kosa lisilosameheka na wala sitatafuta mshauri ili nimpige chini.
hahaha unajitetea tu hapo. Mwanaume ni kujikaza baba. Hebu uza sura bwana, hiyo gari yako chakavu unajua kuna guideline ya emissions inaanza kutumika January 2015? Utakamatwa lazma. Nunua gari mpya bwana
HahahaMke wake alianza kubadilika tabia akanifuata na kuniomba ushauri,nikamuuliza kulikoni? akasema ni mara ya pili sasa mkewe anambwagia mtoto na kwenda misele isiyo na kichwa wala miguu,akimwambia aondoke na mtoto mwanamke anakuwa kiburi,anakaidi na kuondoka akimwacha mtoto analia,tena ndo first born huyo mtoto,jamaa akaamua kufuatilia ili ajue kulikoni,amefanya u spy kwa miezi 6.
Jana tena mwanamke akaondoka kama kawaida yake na kumuacha mtoto akilia,jamaa akanipigia simu kuwa niende haraka kumpa kampani ya kumfuatilia wife wake,ilikuwa saa 3 usiku, kwa kawaida mke wa jamaa huaga kuwa anakwenda kwenye hisa(michezo wachezayo wanawake wengi mjini) tulipofika kwenye ile nyumba ambayo ndo mara nyingi hupenda kwenda katika hisa,tukakuta hayupo,jasusi wa jamaa aliyemuweka kwa kazi ya kum spy.
Mkewe,akatuelekeza aliko shem,jamaa akashindwa ku drive, ikabidi nishike sterling, looh kufika tukavamia nyumba ya mgoni na kumkuta shemeji yupo uchi kama alivyozaliwa, jamaa kazirai, nimekesha hospital, shemeji kakimbia sijui aliko.
SITAKI KUOA.
me too,na huo msimamo my wife wangu anaujua vizuri tu.
Yaani unajifunza uongo kwa stori kubwa sana. Kama mlikuwa na baunsa wa kumfuatilia, kwenye hisa mlifuata nini? Halafu mlipomkuta uchi, walikuwa kichakani ama nyumba haina hata mlango?
Tupe hadithi zenye akili bwana. Kwanza huyo rafiki yako ana gari model gani? Ina cc ngapi? Consumption yake ikoje? Maximum speed? Tuanzie hapo
Sitaki kujua kama stori hii ni ya kweli ama la. Ila mimi nnachokijua ni kwamba mwanamke akishahamua kuhamisha akili yake huwa anakua kama chizi na hakuna utakachomuambia akuelewe. Ni hayo tuu.
Kama mliweka spy kwa nini mhusika asizimie akiwa kwake hadi kwenye hisa ? Ina maana alikuwa anaspy fake asiyejua kutoa taarifa??? Mlipataje uwezo wa kuingia sehemu pasipo vikwazo kama milango , na watu waliozunguka wahusika
inashangaza sana.....
NaamKuna maswali mengi mkuu hayana majibu.
KATAA NDOA. NDOA NI UTAPELIMke wake alianza kubadilika tabia akanifuata na kuniomba ushauri,nikamuuliza kulikoni? akasema ni mara ya pili sasa mkewe anambwagia mtoto na kwenda misele isiyo na kichwa wala miguu,akimwambia aondoke na mtoto mwanamke anakuwa kiburi,anakaidi na kuondoka akimwacha mtoto analia,tena ndo first born huyo mtoto,jamaa akaamua kufuatilia ili ajue kulikoni,amefanya u spy kwa miezi 6.
Jana tena mwanamke akaondoka kama kawaida yake na kumuacha mtoto akilia,jamaa akanipigia simu kuwa niende haraka kumpa kampani ya kumfuatilia wife wake,ilikuwa saa 3 usiku, kwa kawaida mke wa jamaa huaga kuwa anakwenda kwenye hisa(michezo wachezayo wanawake wengi mjini) tulipofika kwenye ile nyumba ambayo ndo mara nyingi hupenda kwenda katika hisa,tukakuta hayupo,jasusi wa jamaa aliyemuweka kwa kazi ya kum spy.
Mkewe,akatuelekeza aliko shem,jamaa akashindwa ku drive, ikabidi nishike sterling, looh kufika tukavamia nyumba ya mgoni na kumkuta shemeji yupo uchi kama alivyozaliwa, jamaa kazirai, nimekesha hospital, shemeji kakimbia sijui aliko.
SITAKI KUOA.
Unaonekana una kichwa kikubwaYaani unajifunza uongo kwa stori kubwa sana. Kama mlikuwa na baunsa wa kumfuatilia, kwenye hisa mlifuata nini? Halafu mlipomkuta uchi, walikuwa kichakani ama nyumba haina hata mlango?
Tupe hadithi zenye akili bwana. Kwanza huyo rafiki yako ana gari model gani? Ina cc ngapi? Consumption yake ikoje? Maximum speed? Tuanzie hapo
Kichwa kikubwa ama akili kubwa? 🙆🏽Unaonekana una kichwa kikubwa
Unasemaa!?!Mshauri wa ndoa hajaoa!!!!!