Kwa yaliyomkuta rafiki yangu sitajaribu kuoa

Kuna toafuti kati ya kuoa na kuishi na mwanamke sasa hapa ni lipi hutafanya?
 
Brothr acha ku2tia kamba watu wazima.Ngoja 2m2me jasusi wetu aje pia kuchunguza ukwel wa habari.
 
Usioe wala sio lazima

Hebu mie ning'ang'anie hapa nilipo maana wanaume wenye misimamo na ujasiri wa kiume wanapungua kila siku.....
 

Cc1000,mwaka 1997, manual, white, 3 doors,
 
Alikosea kuomba ushauri kwako mtu ambaye huna Ndoa. Kosa lilianzia hapo amini usiamini
 
Siku nyingine mkienda kuvamia msichungulie wala kuvunja mlango, unaweza kuona mambo anayofanya mgoni wako yakakuua kabisa.
 
Katika kosa ambalo siwezi kumsamehe mwanamke ni kujua kwamba anagongwa na mtu wakati akiwa na mimi. Hilo kwangu ni kosa lisilosameheka na wala sitatafuta mshauri ili nimpige chini.
 
Na usipo oa jipange kuolewa.

...mianaume isiyo na msimamo kama hili,inaishi kwa kutegemea wengine,inakatatamaa mapema badala kujifunza na kuongeza ubunifu linalia,ovyo kabsa...
 
wiseboy

Mwanamke anayechit hawezi kubwaga mtoto hapo eti akaondoka kwenda kwa mwanaume mwingine kama anaenda sokoni never tena usiku?? Huyo mwanamke alikuwa anajiamini nini na kwa nini kakimbia sasa??

Labda ueleze vizuri ndani kulikuwa na bifu gani baina yao vinginevyo braza umeleta ushigongo hapa!!
 
Last edited by a moderator:
unajua haya mambo ninayoyaona huku MMU ya kuchapiwa mke au mpenz ni mengi sana mpaka mtu unaona kama kuoa au kuwa na mpenz mmoja itakuja kuwa kama KUPANDA MBEGU DECI......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…