Kwa yaliyomkuta rafiki yangu sitajaribu kuoa

Hujui hata kutunga uongo ufanane na ukweli, kweli saa tatu mke anaenda kwenye hisa saa tatu usiku du.Rudi darasani ujifunzu kutunga hadithi
 
Unatakiwa ukamatwe na environmental lawyers kwa kuchafua mazingira. Gari ya mwaka 1997 imeisha muda wake wa kutumia. Hebu uende yard leo ukaangalie ustaarabu bwana ila uongeze na hizo CC kiduchu eeh

Mzima lakini wewe?

nipo powa,
Nimeuza gari ya cc1300 ili niweze kushuka kwenye cc1000,mbona wanaume kibao tuna hizo ladies car siku hizi unafikiri tunapenda?
 
hahaha unajitetea tu hapo. Mwanaume ni kujikaza baba. Hebu uza sura bwana, hiyo gari yako chakavu unajua kuna guideline ya emissions inaanza kutumika January 2015? Utakamatwa lazma. Nunua gari mpya bwana
nipo powa,
Nimeuza gari ya cc1300 ili niweze kushuka kwenye cc1000,mbona wanaume kibao tuna hizo ladies car siku hizi unafikiri tunapenda?
 
Katika kosa ambalo siwezi kumsamehe mwanamke ni kujua kwamba anagongwa na mtu wakati akiwa na mimi. Hilo kwangu ni kosa lisilosameheka na wala sitatafuta mshauri ili nimpige chini.

me too,na huo msimamo my wife wangu anaujua vizuri tu.
 
hahaha unajitetea tu hapo. Mwanaume ni kujikaza baba. Hebu uza sura bwana, hiyo gari yako chakavu unajua kuna guideline ya emissions inaanza kutumika January 2015? Utakamatwa lazma. Nunua gari mpya bwana

nataka nihamie ulimwengu wa Passo au Swift
 
Hahaha
 
Sitaki kujua kama stori hii ni ya kweli ama la. Ila mimi nnachokijua ni kwamba mwanamke akishahamua kuhamisha akili yake huwa anakua kama chizi na hakuna utakachomuambia akuelewe. Ni hayo tuu.
 
Kama mliweka spy kwa nini mhusika asizimie akiwa kwake hadi kwenye hisa ? Ina maana alikuwa anaspy fake asiyejua kutoa taarifa??? Mlipataje uwezo wa kuingia sehemu pasipo vikwazo kama milango , na watu waliozunguka wahusika
 
KATAA NDOA. NDOA NI UTAPELI
 
Unaonekana una kichwa kikubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…