Kwa yanayoendelea kesi ya Sabaya, naamini tutakuja kujua waliohusika kumshambulia Tundu Lissu na wasiojulikana kujulikana

Amin, nawaambia, hakuna hata jiwe moja hapa litakalobaki juu ya jingine, bali kila moja litabomolewa.” Ishara Za Nyakati Za Mwisho ( Marko 13:3-23 ; Luka 21:7-24 )
HAKIKA Mungu ni mkubwa. Bado kitambo kidogo tu, wahusika watatueleza vizuri, nasi TUTAKUJA YAJUA YOTE. AMEN.
Siri za wachawi huwa hazina uwezo wa kudumu. Shetani huwa hawahitaji tena washirika wake baada ya kumaliza kazi zake.
 
Mkuu bandiko lako hili nililikumbuka vizuri kabisa wakati nashusha huu uzi
 
Hakika
 
Kiongozi wa wasio julikana ameshajulikana tayari acha kutumbia hawajulikani.

Alafu mkuu unakuaje mwanachama wa chama chenye members kama akina Sabaya wanao tenda maovu kwenye jamii??
 
Martial Arts alipita TL.

Mungu akamponya
 
Wauaji wa Lisu sidhani kama bado wapo hai waliopo hai watakuwa wa wachache walio hai huku albadili ikiendelea kuwatafuna polepole.
Kuna mmoja kaomba watz wamuombee anapitia magumu
 
Paskali, wakati mwingine unafikirisha Sana. Mawazo yako ni vile upeo wako ulipoishia. Wasiojulikana watajulikana chini ya hili jua.
Duniani jambo likishakuwa la wawili na zaidi lazima litajulikana tu.
Kama wewe unasema hawatajulikana, maana yake Kuna mengi unayajua kuhusu jambo hilo. Kuna namna utakuja kusaidia......
 
Wauaji wa Lisu sidhani kama bado wapo hai waliopo hai watakuwa wa wachache walio hai huku albadili ikiendelea kuwatafuna polepole.
Kuna mmoja kaomba watz wamuombee anapitia magumu
Watakuwepo tu wengine
 
PAULO MAKONDA AU DAUDI MALYANGILI BASHITE NDIYO ALIKUWA KIHEREHERE WA KUJIWEKA KARIBU NA MKUU AKAUA NA KUTEKA WATU, MAREKANI WANAJUA SISI TANZANIA NDIO ZAIDI,NI MUDA, HUYU MPUMBAVU BASHITE ITAKUWA MBAYA SOON, HADI YA RUGE. WALIAMINI YULE NI MUNGU HIVYO WAKAWATENDA UOVU WANADAMU WENZAO KWA KUMFURAHISHA HERODE, ALIDHARAU NA KUTUNAKANA MAWAZIRI DR. MPANGO EXPERIENCED SAKATA LA MAKONTENA YA MAKONDA PALE DICD, LAKINI ILIKUWA HUWEZI KUDEAL NAE YULE MZEE WALIMWEKA KWENYE CHUPA
 
Tusipepese macho wala kujiuma uma.
Makonda alitumwa na Magufuli kumshambulia Lissu.

Polisi walikuwapo Dodoma na ndiyo waliohusika kutoa CCTV Cameras kwenye nyumba za mawaziri na wabunge pale Area D. Na hawakushika mtu hata mmoja kwa mashambulizi yale

Bado Serikali ni ya CCM iko madarakani ambayo Magufuli alikuwa ndiye Mwenyekiti wake na Rais na aliyetoa maagizo.

Ubalozi wa USA ulimsitishia Makonda kuingia nchini kwao kwa kuwa anatuhumiwa "kusitisha haki ya kuishi"ya Watanzania wengine.

Makonda anaweza kutosumbuliwa kwa kipindi hiki cha Rais Samia kwa sababu fulani.

LAKINI, Jinai haizeeki wala HAIFI, iko siku kutakuwa na Utawala wa Sheria au Chama cha upinzani kitaongoza Tanzania ndiyo utayaona mashtaka ya Makonda Mahakamani/Polisi kama unavyoyaona haya ya Sabaya
https://www.jamiiforums.com/
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…