Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amin, nawaambia, hakuna hata jiwe moja hapa litakalobaki juu ya jingine, bali kila moja litabomolewa.” Ishara Za Nyakati Za Mwisho ( Marko 13:3-23 ; Luka 21:7-24 )Tunaanza kusikia tuliyokuwa hatuyajui au kuthibitisha yale tuliyokuwa tukidhania, kwa yanayondelea kutamkwa na Sabaya ni wazi hata kitendawili cha waliomshambulia Tundu Lissu na kilichowasukuma kinaweza kutatuliwa
Sabaya anatamka kabisa kuwa alifika KIA akakutana team ya watu 4 ambao hawezi kuwataja ambao alienda nao kufanya operation aliyopewa na Mamlaka ya uteuzi.
Anaenda mbali kusema operation hiyo baadhi ya watu waliifahamu, inawezekama lengo ni kuhakikisha operation inaenda salama bila kukatizwa hata kama wengine hawajui ni operation gani na mengi aliyoongea
Nikiangalia naona kabisa kuwa hata suala la Kushambuliwa Lissu, inawezekana pia ilikuwa operation nyingine, ukizingatia kulikuwa na fununu za Bashite kuwepo Dodoma wakati shambulizi linatokea.
Lakini pia wakati shambulizi linatokea inawezekana mamlaka zingine na watu wa makazi hayo( tunaambiwa ni ya viongozi) waliambiwa kuna operation japo hawajui ni aina gani na ndio inaweza kuwa sababu hakukuwa na ulinzi kabisa tofauti na siku zote na hata camera kutolewa?
Kingine kinachoonekana kuna watu wachache sana waliaminiwa na Mamlaka ya uteuzi kuweza kufanya operation za namna hii, ndio maana yule Sabaya alitoka Hai kwenda Arusha kufanya operation, na inawezekana mwingine alitoka Dar kwenda Dodoma.
Tundu Lissu mwenye alisema wakati anashambuliwa Mkuu wa Mkoa wa Dar alikuww Dodoma
Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma
Hints: Tundu Lissu anasema kuwa siku aliyopigwa risasi ndio siku Rais Magufuli alikuwa akipokea ripoti ya makinikia. Na masaa mawili kabla ya shambulio lake alitangazia umma kuwa kuna mtu anapiga kelele sana huko nje na katika vita jeshini watu wa namna hiyo ni sawa na wasaliti hivyo kazi huwa...www.jamiiforums.com
Ninachojiuliza hizi zilikuwa 'Rogue' operation? Inaonekana kuna kikundi cha watu( wasiojulikana) kiliundwa nje ya Taasisi rasmi, ndio maana zimefanya mambo 'kishamba' sana.
Nimpongeze Lissu kwa akili za haraka za kuamua kukilaza kitu yeye na dereva wake na kivuweka mbali viungo muhimu sana vya mwili, kana kwamba alipitia mafunzo, pia faida ya kuwa na tinted hawakuweza kuonwa kuwa wamelala.
NB; Majuma kadhaa kabla ya tukio kulitolewa amri ya kuondoa tinted zote kwenye magari mkoani kwake, baadae nadhani ikawa ngumu huenda operation ilipangwa ifanyike Dar ndio maana Lissu alianza kulalamika kuwa kuna gari zinamfatilia
Je wasiojulikana wanaanza kujulikana?
Mkuu bandiko lako hili nililikumbuka vizuri kabisa wakati nashusha huu uziMkuu mngony , thanks for this, its a good analysis na inafikirisha, hivyo ni kweli kuna uwezekano wa kuwajua wale wasiojulikana ila 'wasiojulikana' kamwe hawatajulikana!, kama nilivyoeleza hapa.
PShambulio la Lissu: Wajue wasiojulikana watakaojulikana na 'Wasiojulikana' ambao kamwe, hawatajulikana
Wanabodi, Tangu kutokea kwa shambulizi kwa Mhe.Tundu Lissu, ambalo mpaka sasa linaelezwa kufanywa na watu wasiojulikana, kumeibuka shauku kubwa ya watu kutaka kuwabaini hawa watu wanaoitwa ni watu wasiojulikana, ni kina nani?, wanatumwa na nani? na lengo lao ni nini?, kunakopelekea kujengwa kwa...www.jamiiforums.com
HakikaAmin, nawaambia, hakuna hata jiwe moja hapa litakalobaki juu ya jingine, bali kila moja litabomolewa.” Ishara Za Nyakati Za Mwisho ( Marko 13:3-23 ; Luka 21:7-24 )
HAKIKA Mungu ni mkubwa. Bado kitambo kidogo tu, wahusika watatueleza vizuri, nasi TUTAKUJA YAJUA YOTE. AMEN.
Siri za wachawi huwa hazina uwezo wa kudumu. Shetani huwa hawahitaji tena washirika wake baada ya kumaliza kazi zake.
Magufuli sio tu alikua jambazi pia alikua muuaji.Mbona wengi sana huku kijini nyandolwa tunajua ni mbowe na genge lake.
Kiongozi wa wasio julikana ameshajulikana tayari acha kutumbia hawajulikani.Mkuu mngony , thanks for this, its a good analysis na inafikirisha, hivyo ni kweli kuna uwezekano wa kuwajua wale wasiojulikana ila 'wasiojulikana' kamwe hawatajulikana!, kama nilivyoeleza hapa.
PShambulio la Lissu: Wajue wasiojulikana watakaojulikana na 'Wasiojulikana' ambao kamwe, hawatajulikana
Wanabodi, Tangu kutokea kwa shambulizi kwa Mhe.Tundu Lissu, ambalo mpaka sasa linaelezwa kufanywa na watu wasiojulikana, kumeibuka shauku kubwa ya watu kutaka kuwabaini hawa watu wanaoitwa ni watu wasiojulikana, ni kina nani?, wanatumwa na nani? na lengo lao ni nini?, kunakopelekea kujengwa kwa...www.jamiiforums.com
Martial Arts alipita TL.Tunaanza kusikia tuliyokuwa hatuyajui au kuthibitisha yale tuliyokuwa tukidhania, kwa yanayondelea kutamkwa na Sabaya ni wazi hata kitendawili cha waliomshambulia Tundu Lissu na kilichowasukuma kinaweza kutatuliwa.
Sabaya anatamka kabisa kuwa alifika KIA akakutana team ya watu 4 ambao hawezi kuwataja ambao alienda nao kufanya operation aliyopewa na Mamlaka ya uteuzi.
Anaenda mbali kusema operation hiyo baadhi ya watu waliifahamu, inawezekama lengo ni kuhakikisha operation inaenda salama bila kukatizwa hata kama wengine hawajui ni operation gani na mengi aliyoongea.
Nikiangalia naona kabisa kuwa hata suala la Kushambuliwa Lissu, inawezekana pia ilikuwa operation nyingine, ukizingatia kulikuwa na fununu za Bashite kuwepo Dodoma wakati shambulizi linatokea.
Lakini pia wakati shambulizi linatokea inawezekana mamlaka zingine na watu wa makazi hayo( tunaambiwa ni ya viongozi) waliambiwa kuna operation japo hawajui ni aina gani na ndio inaweza kuwa sababu hakukuwa na ulinzi kabisa tofauti na siku zote na hata camera kutolewa?
Kingine kinachoonekana kuna watu wachache sana waliaminiwa na Mamlaka ya uteuzi kuweza kufanya operation za namna hii, ndio maana yule Sabaya alitoka Hai kwenda Arusha kufanya operation, na inawezekana mwingine alitoka Dar kwenda Dodoma.
Tundu Lissu mwenye alisema wakati anashambuliwa Mkuu wa Mkoa wa Dar alikuww Dodoma.
Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma
Hints: Tundu Lissu anasema kuwa siku aliyopigwa risasi ndio siku Rais Magufuli alikuwa akipokea ripoti ya makinikia. Na masaa mawili kabla ya shambulio lake alitangazia umma kuwa kuna mtu anapiga kelele sana huko nje na katika vita jeshini watu wa namna hiyo ni sawa na wasaliti hivyo kazi huwa...www.jamiiforums.com
Ninachojiuliza hizi zilikuwa 'Rogue' operation? Inaonekana kuna kikundi cha watu( wasiojulikana) kiliundwa nje ya Taasisi rasmi, ndio maana zimefanya mambo 'kishamba' sana.
Nimpongeze Lissu kwa akili za haraka za kuamua kukilaza kitu yeye na dereva wake na kivuweka mbali viungo muhimu sana vya mwili, kana kwamba alipitia mafunzo, pia faida ya kuwa na tinted hawakuweza kuonwa kuwa wamelala.
NB; Majuma kadhaa kabla ya tukio kulitolewa amri ya kuondoa tinted zote kwenye magari mkoani kwake, baadae nadhani ikawa ngumu huenda operation ilipangwa ifanyike Dar ndio maana Lissu alianza kulalamika kuwa kuna gari zinamfatilia
Je wasiojulikana wanaanza kujulikana?
Paskali, wakati mwingine unafikirisha Sana. Mawazo yako ni vile upeo wako ulipoishia. Wasiojulikana watajulikana chini ya hili jua.Mkuu mngony , thanks for this, its a good analysis na inafikirisha, hivyo ni kweli kuna uwezekano wa kuwajua wale wasiojulikana ila 'wasiojulikana' kamwe hawatajulikana!, kama nilivyoeleza hapa.
PShambulio la Lissu: Wajue wasiojulikana watakaojulikana na 'Wasiojulikana' ambao kamwe, hawatajulikana
Wanabodi, Tangu kutokea kwa shambulizi kwa Mhe.Tundu Lissu, ambalo mpaka sasa linaelezwa kufanywa na watu wasiojulikana, kumeibuka shauku kubwa ya watu kutaka kuwabaini hawa watu wanaoitwa ni watu wasiojulikana, ni kina nani?, wanatumwa na nani? na lengo lao ni nini?, kunakopelekea kujengwa kwa...www.jamiiforums.com
Duniani haijashindwa kuvunzaWatakuwepo tu wengine
PAULO MAKONDA AU DAUDI MALYANGILI BASHITE NDIYO ALIKUWA KIHEREHERE WA KUJIWEKA KARIBU NA MKUU AKAUA NA KUTEKA WATU, MAREKANI WANAJUA SISI TANZANIA NDIO ZAIDI,NI MUDA, HUYU MPUMBAVU BASHITE ITAKUWA MBAYA SOON, HADI YA RUGE. WALIAMINI YULE NI MUNGU HIVYO WAKAWATENDA UOVU WANADAMU WENZAO KWA KUMFURAHISHA HERODE, ALIDHARAU NA KUTUNAKANA MAWAZIRI DR. MPANGO EXPERIENCED SAKATA LA MAKONTENA YA MAKONDA PALE DICD, LAKINI ILIKUWA HUWEZI KUDEAL NAE YULE MZEE WALIMWEKA KWENYE CHUPATunaanza kusikia tuliyokuwa hatuyajui au kuthibitisha yale tuliyokuwa tukidhania, kwa yanayondelea kutamkwa na Sabaya ni wazi hata kitendawili cha waliomshambulia Tundu Lissu na kilichowasukuma kinaweza kutatuliwa.
Sabaya anatamka kabisa kuwa alifika KIA akakutana team ya watu 4 ambao hawezi kuwataja ambao alienda nao kufanya operation aliyopewa na Mamlaka ya uteuzi.
Anaenda mbali kusema operation hiyo baadhi ya watu waliifahamu, inawezekama lengo ni kuhakikisha operation inaenda salama bila kukatizwa hata kama wengine hawajui ni operation gani na mengi aliyoongea.
Nikiangalia naona kabisa kuwa hata suala la Kushambuliwa Lissu, inawezekana pia ilikuwa operation nyingine, ukizingatia kulikuwa na fununu za Bashite kuwepo Dodoma wakati shambulizi linatokea.
Lakini pia wakati shambulizi linatokea inawezekana mamlaka zingine na watu wa makazi hayo( tunaambiwa ni ya viongozi) waliambiwa kuna operation japo hawajui ni aina gani na ndio inaweza kuwa sababu hakukuwa na ulinzi kabisa tofauti na siku zote na hata camera kutolewa?
Kingine kinachoonekana kuna watu wachache sana waliaminiwa na Mamlaka ya uteuzi kuweza kufanya operation za namna hii, ndio maana yule Sabaya alitoka Hai kwenda Arusha kufanya operation, na inawezekana mwingine alitoka Dar kwenda Dodoma.
Tundu Lissu mwenye alisema wakati anashambuliwa Mkuu wa Mkoa wa Dar alikuww Dodoma.
Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma
Hints: Tundu Lissu anasema kuwa siku aliyopigwa risasi ndio siku Rais Magufuli alikuwa akipokea ripoti ya makinikia. Na masaa mawili kabla ya shambulio lake alitangazia umma kuwa kuna mtu anapiga kelele sana huko nje na katika vita jeshini watu wa namna hiyo ni sawa na wasaliti hivyo kazi huwa...www.jamiiforums.com
Ninachojiuliza hizi zilikuwa 'Rogue' operation? Inaonekana kuna kikundi cha watu( wasiojulikana) kiliundwa nje ya Taasisi rasmi, ndio maana zimefanya mambo 'kishamba' sana.
Nimpongeze Lissu kwa akili za haraka za kuamua kukilaza kitu yeye na dereva wake na kivuweka mbali viungo muhimu sana vya mwili, kana kwamba alipitia mafunzo, pia faida ya kuwa na tinted hawakuweza kuonwa kuwa wamelala.
NB; Majuma kadhaa kabla ya tukio kulitolewa amri ya kuondoa tinted zote kwenye magari mkoani kwake, baadae nadhani ikawa ngumu huenda operation ilipangwa ifanyike Dar ndio maana Lissu alianza kulalamika kuwa kuna gari zinamfatilia
Je wasiojulikana wanaanza kujulikana?
Tusipepese macho wala kujiuma uma.Tunaanza kusikia tuliyokuwa hatuyajui au kuthibitisha yale tuliyokuwa tukidhania, kwa yanayondelea kutamkwa na Sabaya ni wazi hata kitendawili cha waliomshambulia Tundu Lissu na kilichowasukuma kinaweza kutatuliwa.
Sabaya anatamka kabisa kuwa alifika KIA akakutana team ya watu 4 ambao hawezi kuwataja ambao alienda nao kufanya operation aliyopewa na Mamlaka ya uteuzi.
alikuwa-dodoma.1548137/[/URL]