Kwa yanayoendelea, napoteza imani na Idara ya Usalama wa Taifa, napoteza imani na CCM kama inaweza kutuvusha kiuchumi na kimaendeleo. Uzalendo hamna

Kenya wamekaa paleee....wanatunanga tu, Diesel Diesel kiko wapi sasa 😲
 
Hoja yako ni nzuri yaani badala ya kupambana na changamoto ya umeme kukatika. Eti tunarudi zama za mawe dah!
 
Tanzania Tunachezeaa Sana
Kungu MasanjA Hata Aibu
 
Huwezi ukawekeza kwenye uchawa alafu ukategemea vitu vya kueleweka. Ule mzigo umetumia gharama kubwa sana ambazo tutakuwa tunazilipia lakini wao wanachukulia poa sana.
 
"Cha kusikitisha, eti nao wameshindwa kumdhibiti Kadogosa na mipango yake dhalimu ya kulihujumu taifa letu"




Kadogosa ni pazia pale maamuzi yote yanayoka juu and I believe hata nafsi ya kadogosa ilisikitika sana kwa maamuzi haya ila atafanyaje sasa na yeye anatafuta ugali
 
Ebu jiulize, toka lini CCM ikajali wananchi na usalama wa taifa kiujumla?
 
Tusimung'unye maneno, mama NDIYE yuko nyuma ya Kadogosa. Hizi ni dili za mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…