Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sitalipa,tuliambiwa tunajengea hela zetu za ndani,kupitia Kodi zetu.iyo reli 85% ni mkopo ambao lazima ulipwe hata na kizazi cha 10 na riba juu
halafu wanafanya blunders
Imevuka staha na mipaka. Lugha ya ukakasi hiindo madhara ya kuwa na Rais anae ingiliwa kimwili
😂😂😂😂😂Sio tusiDu!... Nikadhani tusi jipya! 😂🤣
Kama kawaida yakoNgoja nitakuja kuandika hapa hoja nzito mpaka mbakie mnabubujikwa na machozi ya furaha.
Hatuwezi kuendelea bila ya kuitoa CCM madarakani. Katiba ndio Sheria mama. Katiba ya mwaka 1977 ni obsolete, haifai kabisaIli tuendelee tunahitaji sheria kali kama za China Japan South Korea na Nchi kama hizo !
Akileta hizo hoja nampa lakiKama kawaida yako
AiseeTanzania Tunachezeaa Sana
Kungu MasanjA Hata Aibu
Usalama wa taifa kwa sasa wako kuilinda ccm isitoke madarakani.Inasikitisha.
Mijitu hata haioni uchungu
Very sadUsalama wa taifa kwa sasa wako kuilinda ccm isitoke madarakani.
Msamiati mpya huu, nimeupenda.😂😂😂😂😂Sio tusi

Ebu jiulize, toka lini CCM ikajali wananchi na usalama wa taifa kiujumla?Inasikitisha kuona kwamba taifa linafanya mchezo wa maigizo yanayoligharimu taifa mabilioni ya dola na kumbe hawako serious.
Tumejenga reli ya Umeme kwa gharama kubwa sana, halafu kutoka huko Kadogosa mkurugenzi wa shirika la reli anakuja na ajenda ya kununua vichwa vya dizeli.
Tunafahamu kwenye mchakato wa MANUNUZI ndio kuna wizi MKUBWA wa FEDHA ZA UMMA.
Kama Umeme unahujumiwa, je solution ni kurudi nyuma tulikotoka au ni kupambana na kudhibiti hujuma taifa liende mbele?
KAZI ya idara ya usalama wa taifa ni mshauri mkuu wa taifa na mlinzi wa usalama wa miundombinu Na maendeleo ya taifa.
Cha kusikitisha, eti nao wameshindwa kumdhibiti Kadogosa na mipango yake dhalimu ya kulihujumu taifa letu.
Uzalendo UKO wapi? Nahisi hiki kinachoendelea ni mlolongo wa uhalifu wa kimkakati unaohusisha mamlaka na watu wakubwa ndani ya serikali.
Hatuwezi kusonga mbele kama taifa iwapo watu kama kina Kadogosa wasio na uchungu Na uzalendo wataendelea kuongoza taasisi nyeti za taifa letu.
Rais kama hashiriki mpango huu dhalimu, ampige chini Kadogosa mara moja, achunguzwe na Polisi, Takukuru na idara ya usalama wa taifa.
Akipatikana na hatia afikishwe mahakamani mara moja
Tusimung'unye maneno, mama NDIYE yuko nyuma ya Kadogosa. Hizi ni dili za mama"Cha kusikitisha, eti nao wameshindwa kumdhibiti Kadogosa na mipango yake dhalimu ya kulihujumu taifa letu"
Kadogosa ni pazia pale maamuzi yote yanayoka juu and I believe hata nafsi ya kadogosa ilisikitika sana kwa maamuzi haya ila atafanyaje sasa na yeye anatafuta ugali
NI jukumu Lao kufuatilia na kuishauri serikali. Mbona WEWOOOO!!Sidhani kama usalama wa Taifa wanajihusisha na mambo ya uhujumu uchumi unaofanywa kwenye ngazi za juu
Niliwaambia wasukuma ni wezi Sana mkabishaKadogos aakifa tutaichoma kaburi lake kama Wasiria walivyo fanya kwa yule dhalimu wao.