Kwa yanayoendelea, napoteza imani na Idara ya Usalama wa Taifa, napoteza imani na CCM kama inaweza kutuvusha kiuchumi na kimaendeleo. Uzalendo hamna

Kwa yanayoendelea, napoteza imani na Idara ya Usalama wa Taifa, napoteza imani na CCM kama inaweza kutuvusha kiuchumi na kimaendeleo. Uzalendo hamna

Kenya wamekaa paleee....wanatunanga tu, Diesel Diesel kiko wapi sasa 😲
 
Hoja yako ni nzuri yaani badala ya kupambana na changamoto ya umeme kukatika. Eti tunarudi zama za mawe dah!
 
Tanzania Tunachezeaa Sana
Kungu MasanjA Hata Aibu
 
Huwezi ukawekeza kwenye uchawa alafu ukategemea vitu vya kueleweka. Ule mzigo umetumia gharama kubwa sana ambazo tutakuwa tunazilipia lakini wao wanachukulia poa sana.
 
"Cha kusikitisha, eti nao wameshindwa kumdhibiti Kadogosa na mipango yake dhalimu ya kulihujumu taifa letu"

Kadogosa ni pazia pale maamuzi yote yanayoka juu and I believe hata nafsi ya kadogosa ilisikitika sana kwa maamuzi haya ila atafanyaje sasa na yeye anatafuta ugali
 
Inasikitisha kuona kwamba taifa linafanya mchezo wa maigizo yanayoligharimu taifa mabilioni ya dola na kumbe hawako serious.

Tumejenga reli ya Umeme kwa gharama kubwa sana, halafu kutoka huko Kadogosa mkurugenzi wa shirika la reli anakuja na ajenda ya kununua vichwa vya dizeli.

Tunafahamu kwenye mchakato wa MANUNUZI ndio kuna wizi MKUBWA wa FEDHA ZA UMMA.

Kama Umeme unahujumiwa, je solution ni kurudi nyuma tulikotoka au ni kupambana na kudhibiti hujuma taifa liende mbele?

KAZI ya idara ya usalama wa taifa ni mshauri mkuu wa taifa na mlinzi wa usalama wa miundombinu Na maendeleo ya taifa.

Cha kusikitisha, eti nao wameshindwa kumdhibiti Kadogosa na mipango yake dhalimu ya kulihujumu taifa letu.

Uzalendo UKO wapi? Nahisi hiki kinachoendelea ni mlolongo wa uhalifu wa kimkakati unaohusisha mamlaka na watu wakubwa ndani ya serikali.

Hatuwezi kusonga mbele kama taifa iwapo watu kama kina Kadogosa wasio na uchungu Na uzalendo wataendelea kuongoza taasisi nyeti za taifa letu.

Rais kama hashiriki mpango huu dhalimu, ampige chini Kadogosa mara moja, achunguzwe na Polisi, Takukuru na idara ya usalama wa taifa.

Akipatikana na hatia afikishwe mahakamani mara moja
Ebu jiulize, toka lini CCM ikajali wananchi na usalama wa taifa kiujumla?
 
"Cha kusikitisha, eti nao wameshindwa kumdhibiti Kadogosa na mipango yake dhalimu ya kulihujumu taifa letu"

Kadogosa ni pazia pale maamuzi yote yanayoka juu and I believe hata nafsi ya kadogosa ilisikitika sana kwa maamuzi haya ila atafanyaje sasa na yeye anatafuta ugali
Tusimung'unye maneno, mama NDIYE yuko nyuma ya Kadogosa. Hizi ni dili za mama
 
Back
Top Bottom