Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Cha ajabu magufuli nayeye alikua fisadi la kufa mtuKwa mtu unayejiongeza hahitaji hata kujua kazi zao specifically ili kugundua kuwa wanafail au hawana meno.
Magufuli alikua analalamika sana jinsi tunavyoibiwa, jinsi watu walivyowazembe, jinsi mambo yalivyo - [Unashangaa Rais analalamika, nani anamsaidia sasa.hakuna watu wa kumsaidia???]
Mama Samia mwenyewe kuna muda anakuwa mkali, analalamika - KAMA MTOTO yatima vile
Watu mnatafuta balaa.ndo madhara ya kuwa na Rais anae ingiliwa kimwili
Serikali za wapi. ???!!
Fisadi mmoja si sawa na kuwa na mafisadi kila kona ya Nchi !Cha ajabu magufuli nayeye alikua fisadi la kufa mtu
Ni 100%iyo reli 85% ni mkopo ambao lazima ulipwe hata na kizazi cha 10 na riba juu
halafu wanafanya blunders
Mkuu hapo kwenye case study ni muhim saana.Ila ukiangalia kwa makin kwa haya matukio ya kutekateka watakuwa wamefanya case study mahali.Watakuwa wanafanya case studies namna ya kuyafanya kwa ufanisi yale wayawazayo.Case study ya vyombo vya usalama walitakiwa kabla ya kuvuka mipaka ya nchi,wajifunze kwanza siri ya weledi wa JWTZ .Maana gap lilikopo kati ya JWTZ na idara zingne za ulinzi na usalama utadhani ni vyombo vinavyopatakina nchi mbili tofauti tena zisizo pakana.Idara hii nayo ije ifumuliwe, ijengwe upya tu. Wakafanye case studues kwa wengine tuone wamefanya nini kutenganisha idara zao za usalama na wanasiasa.
Nchi zenye historia ya ujamaa.- Serikali ndo kitu cha kwanza then wananchi ndo wanafuata. So idara zinakuwa zinafanyakazi kulinda serikali zaidi kuliko wananchi.
Idara gani inaruhusu: mauaji, mikataba fake, wizi wa uchaguzi, uharibifu wa miundo mbinu, maonevu kwa watu - watu wanabambikiwa case, matumizi mabaya ya rasilimali za taifa mfano mtu anakamatwa Mbeya analetwa Dar na kurudishwa Mbeya then anaachiwa, miradi inakufa - SASA huo usalama unafanya nini jamani? Humu huwa wanatetea ohh..wao ni kutoa taarifa tu mengine hayawahusu.JAMANI kwa waswahili hawa....kama wanatoa taarifa na hazifanyiwi kazi basi kuna haja ya kubadirisha sheria ili ziwabane watu watii recommendations..
Tunasafari ndefu sana
HahahaInamaana uliwahi kuwaamini?
Ulikuwa na matatizo wewe ila sasa unaelekea kupona.
Anyway ngoja tukubaliane na wewe hivyo hivyo. Lakini mimi sina chombo nachoakiamini .Mkuu hapo kwenye case study ni muhim saana.Ila ukiangalia kwa makin kwa haya matukio ya kutekateka watakuwa wamefanya case study mahali.Watakuwa wanafanya case studies namna ya kuyafanya kwa ufanisi yale wayawazayo.Case study ya vyombo vya usalama walitakiwa kabla ya kuvuka mipaka ya nchi,wajifunze kwanza siri ya weledi wa JWTZ .Maana gap lilikopo kati ya JWTZ na idara zingne za ulinzi na usalama utadhani ni vyombo vinavyopatakina nchi mbili tofauti tena zisizo pakana.
Unataka nani asimamiye zianze naye?Ili tuendelee tunahitaji sheria kali kama za China Japan South Korea na Nchi kama hizo !
Ni network ndefuCha kusikitisha, eti nao wameshindwa kumdhibiti Kadogosa na mipango yake dhalimu ya kulihujumu taifa letu.
Uzalendo UKO wapi? Nahisi hiki kinachoendelea ni mlolongo wa uhalifu wa kimkakati unaohusisha mamlaka na watu wakubwa ndani ya serikali.
Huyo chawa hawezi kuja kujibu - yeye ni kushangilia chochote cha CCM hata kama ni uchafu.Lucas Mwashambwa fika huku fasta utetee hujuma ambazo Kadogosa analihujumu taifa
Huyo chawa hawezi kuja kujibu - yeye ni kushangilia chochote cha CCM hata kama ni uchafu.
Ya mahayawaniNi network ndefu
Kwa hiyo mmetengeneza Mfumo wa kuharibu taifa kwa vizazi 300 vijavyo?Hata miaka 100 ijayo bado mtakuwa mnalia lia tu na hakuna lolote
Mnalalamika nchi inaliwa na hata mkipewa mahali bado mtapiga tu
Mnabadilishana tu
Hata huyu akiondoka atakuja mpaka mseme afadhili yule
Ndio mwenendo wa nchi masikini wa kifikra kila sehemu
Nigeria ina Vyuo vikuu zaidi ya 270 je wanakwama wapi
Mnatengeneza wenyewe kwani mtoto akianza kuiba kalamu shule na mwalimu kula lunch ya watoto hapo ndio mnatengeneza taifa bovuKwa hiyo mmetengeneza Mfumo wa kuharibu taifa kwa vizazi 300 vijavyo?
Pole sana mkuu kwa kuvunjika moyo kiasi hicho.Ila mi naona JWTZ ni chombo ambacho nchi nyingi za Africa znaweza kujifunz kwao.Mengne ni mapungufu ya wachache miongoni mwao na syo ya kimfumo kama ilivyp kwa idara zngne.Anyway ngoja tukubaliane na wewe hivyo hivyo. Lakini mimi sina chombo nachoakiamini .
Afrika is africa
Kazi kweli kweli !Unataka nani asimamiye zianze naye?